mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,200
- 49,076
Naam ndio hao hao wazee wa vikao vya dubai.... hawa jamaa (TANAPA/NCCA) si ndio bodi zao walikuwa wanafanyia vikao Dubai na kulipana posho za kufuru hawa? Siwaonei wivu ila kwa kweli walizidi.
Kwa hli naipongeza Serikali ila muhimu hao TRA wawe makini "fujo" zao za kijinga zisije zikaua utalii badala ya kuuboresha maana wanachoangalia ni kodi waliyokadiria wao tu hata kama utauza assets ili uweze kulipia hayo makadirio yao wala hawajali as long as wamefikia "lengo".
Yaani huo mpunga ukishaingia mikononi kwa Tra mara paap unakutana na miradi kibao ya bwn Jo' then kifuatacho Itv ni tanapa/ncaa wajiandae kisaikolojia.