Wadau wa utalii mna mtazamo gani kuhusu uamuzi mpya ukusanyaji wa mapato yanayotokana na utalii?

Mtoto anakuwa na jeuri ya pesa kuliko wakubwa zake.
Kuhusu ufanisi, waulize bodi ya korosho, halmashauri je ufanisi upoje kwa sasa?
Nasikia sikia eti kwingine wanakula mahindi ya kuchoma kama kigungua kinywa.
 
Ujangili haukuisha kwa sababu ya bajeti ya hao jamaa wa mambo ya hifadhi. Hao hawakuweza chochote kwenye ujangili na ndio walikua wanahifadhi ujangili.

John alipoingia aliamua kutumia kikosi kazi cha watu wenye roho mbaya nje ya hizo taasisi kupambana na majangili. Majangili wengi wamekufa, wamefungwa na wengine wamepotea hawajulikani walipo.

Wale majangili wa nyama wao huruma yao ni kupelekwa mahakamani na kufungwa miaka 20 ila wale wa ndovu, faru wao ilikua either kuzimu au ukimbie nchi.
Mfukua makaburi with all due respect napata mashaka na uelewa wako kuhusu ujangili na issue nzima ....hicho kikosi maalumu unajua kinaundwa na nani? Kupigana na ujangili unahitaji ushirikiano wa majeshi yote na vyombo vingine vya usalama. Utawaweka pembeni hawa?

Issue ya bajeti...kama kulikuwa na wapigaji (maana mfumo wa EFD upo) washughulikiwe hao! TRA wanafanya kile kile ilichokuwa inafanya hizi taasisi. Tatizo kama kuna watu wame mess up au wametafuna hela hata TRA wanaweza kuwepo. Hapo inaleta harufu ya kunyang'anyana tonge...na inahisiwa TRA huenda ingependa ionekane inakusanya zaidi kwa mwezi..maana mwishowe mapato yote yanaenda hazina!
 
Naam ndio hao hao wazee wa vikao vya dubai.

Yaani huo mpunga ukishaingia mikononi kwa Tra mara paap unakutana na miradi kibao ya bwn Jo' then kifuatacho Itv ni tanapa/ncaa wajiandae kisaikolojia.

[emoji81][emoji81]daah
 
Issue si wageni kua wanaletwa na hifadhi. Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utalii inacho itofautisha na sekta nyingine za uchumi utalii ni service industry meaning production na consumption vinatokea at the same time, basically you're selling experience. Now assume njia ya kutoka Ngorongoro to Serengeti imeharibika urequest funds toka serikali kuu kutatua tatizo ikichelewa kidogo tu hapo ushaharibu experience ya mgeni. Atachelewa kufika anapotaka on time, second mgeni analimited time kuwepo Tanzania hivyo akichelewa atamiss flight, au kama siku ikipita reservation ya mgeni isha expire na agents watakua na burden kurefunds, itinerary ya mgeni itafanyiwa mabadiliko, na kufanyiwa mabadiliko huko utafanya last minutes bookings which is expensive na huna uhakika wa kuipata. Hivyo kama unafanya biashara ya utalii kitu cha kwanza ni uweze kutoa exceptional customer experience na kuwezesha hilo uwe na sufficient cash flow unayoweza kuipata on time.
Hofu za nini. Serikali imeshasema itatoa hela. Na kwa utawala wa huyu bwanamkubwa anapenda kuweka nguvu sehemu ile inayomuungizia kipato. sasa iwapo ishue ni barabara TARULA wapo kila sehemu, nadhani unakumbuka mvua ya mwaka huu, mkuu wa mkoa huko manyara sijui ni Arusha alireact kwenye barabara ya ngorongoro kwa kuharibika. Therefore then, tumpatie muda wa makusanyo yuone namna atakavyo disburse hiyo funds. Afterall pesa atakuwa anatoa kwa quater.
 
Mkuu niongezee kwa kusema hizo observations kuhusu urasimu kwenye madokezo ya requisition ya pesa, ndio implications ambazo zinahitaji majibu kabla ya utekelezaji, wasiwasi ni mzuri ila tuwape nafasi wakirikoroga watajirudi, Wakati wa uharamia wa tembo si walikuwepo na mandate zao sasa ngoja waonje transformations.
 
Hofu za nini. Serikali imeshasema itatoa hela. Na kwa utawala wa huyu bwanamkubwa anapenda kuweka nguvu sehemu ile inayomuungizia kipato. sasa iwapo ishue ni barabara TARULA wapo kila sehemu, nadhani unakumbuka mvua ya mwaka huu, mkuu wa mkoa huko manyara sijui ni Arusha alireact kwenye barabara ya ngorongoro kwa kuharibika. Therefore then, tumpatie muda wa makusanyo yuone namna atakavyo disburse hiyo funds. Afterall pesa atakuwa anatoa kwa quater.
That's why nilisema kama watakua na mpango kazi maalumu kwa sekta ya utalii hakuna tatizo ila kama watahisi operation ya utalii ni kama sekta nyingine wajiandae kisaikolojia.
 
Hilo kweli lipo wazi ingawa wasiwasi ni kua hizi taasisi zikitegemea budget toka serikali kuu haya mapato yanayopatikana sasa hivi yanaweza yasipatikane unless wawe na mpango kazi maalumu kwa sekta utalii.
Mkuu umeandika kwa hofu sana, hivi mwajiri wako akikupa mwongozo wa mapato yake utaanza kumwambia, oooh mkuu wateja watakimbia, ooh bosi tutakosa sijui nini..!!

Hapana mkuu watu walizidi kuiba sana na kujinufaisha binafsi, but hizi sector nyingine ambazo zinapokea budget kutoka hazina kuu mbona haziteteleki au siyo ulivyodhani.
 
Tukubali mabadiliko umuungu mtu ulitawala sana, serikali kuu imeona hiki ni chanzo kinachohitaji usimamizi zaidi ili kuongeza manufaa zaidi, kwa kuwa wanajua ni sector ya faida hawata itelekeza kimatunzo
 
Mkuu umeandika kwa hofu sana, hivi mwajiri wako akikupa mwongozo wa mapato yake utaanza kumwambia, oooh mkuu wateja watakimbia, ooh bosi tutakosa sijui nini..!!

Hapana mkuu watu walizidi kuiba sana na kujinufaisha binafsi, but hizi sector nyingine ambazo zinapokea budget kutoka hazina kuu mbona haziteteleki au siyo ulivyodhani.
Of course TANAPA na NCCA palikuwa kisima cha kuchota hela kwa wakulu. Serikali ikifanikisha hili itadhibiti ubadhirifu, ila wasiwasi unakuja kidogo hasa tukikumbuka mambo ya korosho. Hope haitatokea kama yale huku sababu walitaka vingi kule wakakosa vyote
 
Hofu za nini. Serikali imeshasema itatoa hela. Na kwa utawala wa huyu bwanamkubwa anapenda kuweka nguvu sehemu ile inayomuungizia kipato. sasa iwapo ishue ni barabara TARULA wapo kila sehemu, nadhani unakumbuka mvua ya mwaka huu, mkuu wa mkoa huko manyara sijui ni Arusha alireact kwenye barabara ya ngorongoro kwa kuharibika. Therefore then, tumpatie muda wa makusanyo yuone namna atakavyo disburse hiyo funds. Afterall pesa atakuwa anatoa kwa quater.
Mkuu sijui hawa jamaa wanahofia mini?
 
Of course TANAPA na NCCA palikuwa kisima cha kuchota hela kwa wakulu. Serikali ikifanikisha hili itadhibiti ubadhirifu, ila wasiwasi unakuja kidogo hasa tukikumbuka mambo ya korosho. Hope haitatokea kama yale huku sababu walitaka vingi kule wakakosa vyote
Hawa Ngorongoro ndio walinunua vitafunwa vya milioni 800 kwenye ripoti ya CAG 2019, hahaaa
 
Hilo ni pigo kwao ila ilionekana katika upepo w covid19 hao jamaa walishindwa hata kulipi mishahar kwa watumishi wao hadi serikali kuu kuingilia na kunusuru kadhia hiyo...
Ndio hapo akina Dr Mpango wakapa credibility ya kutwaa hivyo vyanzo vyao...

Yaaani hizo mamlaka zilikusanya na kushindwa kuwa na akiba walao kwa mwaka mzima in case ya majanga.

So mzigo wa kuwasilisha gawio serikai kuu umewaepuka, na huenda mishahra ikaratibiwa na serikali kuu pia.

Acha tusubirie.
 
Hawa Ngorongoro ndio walinunua vitafunwa vya milioni 800 kwenye ripoti ya CAG 2019, hahaaa
Ngoja nao waone uchungu wa kusubiria fungu toka serikali kuu
 
Issue si wageni kua wanaletwa na hifadhi. Ngoja nikupe elimu kidogo kuhusu utalii inacho itofautisha na sekta nyingine za uchumi utalii ni service industry meaning production na consumption vinatokea at the same time, basically you're selling experience. Now assume njia ya kutoka Ngorongoro to Serengeti imeharibika urequest funds toka serikali kuu kutatua tatizo ikichelewa kidogo tu hapo ushaharibu experience ya mgeni. Atachelewa kufika anapotaka on time, second mgeni analimited time kuwepo Tanzania hivyo akichelewa atamiss flight, au kama siku ikipita reservation ya mgeni isha expire na agents watakua na burden kurefunds, itinerary ya mgeni itafanyiwa mabadiliko, na kufanyiwa mabadiliko huko utafanya last minutes bookings which is expensive na huna uhakika wa kuipata. Hivyo kama unafanya biashara ya utalii kitu cha kwanza ni uweze kutoa exceptional customer experience na kuwezesha hilo uwe na sufficient cash flow unayoweza kuipata on time.
Nakubaliana na wewe kabisa chief, hasa kwenye fact kwamba hii sector yetu imebase kwenye kuuza huduma kuliko product, hili sio jambo la kufanya "trial and error" experience mbaya kwa mgeni ina effects kubwa sana kwenye industry nzima na tusisahau habari mbaya huenea haraka zaidi, wote tunakubali kuwa upigaji ulikithiri sana kwenye hizi taasisi lakini swala la kucentralize mapato na kuwanyima kujiendesha sidhani kama chaguo sahihi, ukiniuliza ni jambo gani lilipaswa kufanyika ningeshauri uongozi na bodi zote za juu katika taasisi hizi zingefumuliwa ili tuanze upya.
 
Mfukua makaburi with all due respect napata mashaka na uelewa wako kuhusu ujangili na issue nzima ....hicho kikosi maalumu unajua kinaundwa na nani? Kupigana na ujangili unahitaji ushirikiano wa majeshi yote na vyombo vingine vya usalama. Utawaweka pembeni hawa?

Issue ya bajeti...kama kulikuwa na wapigaji (maana mfumo wa EFD upo) washughulikiwe hao! TRA wanafanya kile kile ilichokuwa inafanya hizi taasisi. Tatizo kama kuna watu wame mess up au wametafuna hela hata TRA wanaweza kuwepo. Hapo inaleta harufu ya kunyang'anyana tonge...na inahisiwa TRA huenda ingependa ionekane inakusanya zaidi kwa mwezi..maana mwishowe mapato yote yanaenda hazina!
👊🏻👊🏻👊🏻
 
Back
Top Bottom