naam watu wanabeza jambo hili kama kuikomoa serikali wakati barabarani ni mvurugano tu huko.Ni kweli kabisa, kwa UK watu wanatumia miaka mingi kupata leseni. Huo mtihani wa theory kufaulu tu ni kwa mbinde. Hapo bado hujaenda practical.
Ukifanya kosa la kugonga au kusababisha kifo ni kama unakuwa umejifuta kwenye udereva. Kosa la kuendesha gari umelewa au una kilevi linaweza kusababisha kufungia hadi mwaka. Kutupa uchafu ukiwa kwenye gari barabarani fine ni hadi £2500 au gari lako kupondwapondwa.
Kwa hiyo tusiwalete wazungu kwenye hili ni kuonesha namna sheria hazifuatwi na kujichoresha bure. Vijana wachadema acheni kuwaharibia madereva.
Moja ya hoja ambazo inabidi madereva wazitumie ni speed limit zisizo na maana kama vile 30 na 50 kwenye highway. Speed ya konokono ya malori ambayo inashawish kuovertake maeneo yasiyoruhusiwa.
Kama na wewe umeishi UK basi unajua fika kuwa unachofanya hapa ni kupotosha makusudi ili tu kuingiza siasa za vyama na kuwasingizia 'Chadema' [civics]. Mgomo wa madereva unahusu haki zao za kazi na mkate wa familia zao, hauhusiani na vyama vya siasa [civics].Ni kweli kabisa, kwa UK watu wanatumia miaka mingi kupata leseni. Huo mtihani wa theory kufaulu tu ni kwa mbinde. Hapo bado hujaenda practical.
Ukifanya kosa la kugonga au kusababisha kifo ni kama unakuwa umejifuta kwenye udereva. Kosa la kuendesha gari umelewa au una kilevi linaweza kusababisha kufungia hadi mwaka. Kutupa uchafu ukiwa kwenye gari barabarani fine ni hadi £2500 au gari lako kupondwapondwa.
Kwa hiyo tusiwalete wazungu kwenye hili ni kuonesha namna sheria hazifuatwi na kujichoresha bure. Vijana wachadema acheni kuwaharibia madereva.
Moja ya hoja ambazo inabidi madereva wazitumie ni speed limit zisizo na maana kama vile 30 na 50 kwenye highway. Speed ya konokono ya malori ambayo inashawish kuovertake maeneo yasiyoruhusiwa.
Akili yako ni finyu(primitive) kwa hiyo watu waogope kudai haki zao kwa sababu watatupiwa kesi za uhaini nk. Hujawahi Kuyaona makaburi ya waliogopa kufa!Mzee kwa sasa nchi yetu imejaa vituko vya kila aina. Nachomaanisha nchi imejaa vitendo vya kukomoana. Unaweza kuona mawazo yangu ni ya kipumbavu, kimaskini n.k (Ingawa najua hujajipa muda kuyatafakari mawazo yangu, ungeyatafakari husingejibu ulichojibu), lakini kwa sasa lolote linaweza kutokea wakati wowote kwenye nchi yetu. Nasisitiza, kesho ukisikia viongozi wa madereva wamepewa uhujumu uchumi, the famous kuitisha the executive n.k wala husishangae. Jiandae kuwapa mawakili bro
Wewe mwana CCM habari za jioni ndugu yangu. Kadi yako ni namba ngapi ili nijue naongea na mwanaccm wa juzi ama wa kitamboHapo ndo mnakosea na kuharibia watu wanaopambania masuala yao. Nyie kama mna hoja za kuwasaidia wapelekeeni siyo kuchukua suala lao na kuanza kulifanya kama la kwenu.
Waacheni wajenge hoja zao kwa Serikali wataelewana
Wanaharakati aamejiingiza how kwenye huu mgomo wa madereva? So far ni madereva? Wana harakati wana nafasi gani?Sijakataa kugoma ni haki ya msingi lakini soma hoja yangu na uielewe. Waambieni hao wanaharakati njaa wasijiingize kwenye hoja za watu watawaharibia. Wajifunze kuwa na mipaka na masuala ya watu wengine ambao hawajawaomba msaada wa kupush hoja zao
mkuu mahakama wala sio ya kuogopa kiasi hicho unachosema weweTatizo lako unasoma andiko bila kuelewa mwandishi kamaanisha nini. Soma vuzuri, unang'ang'ania hizo adhabu kwani hujaona nilpoaandika kuhusu mahakama zetu na mapolisi wetu na miundo mbinu? Unaleta jedwari bila kuzijibu hoja zangu?
Changamoto zipo hususan miundombinu lakini pia hatujui tunachokihitajinaam watu wanabeza jambo hili kama kuikomoa serikali wakati barabarani ni mvurugano tu huko.
yani dereva anagoma kisa sheria kali zinakuja za kumtaka yeye afunge mkanda, au kuzingatia alama za barabarani
wakati huohuo kipanya akichora katuni kwamba tanzania kuvuka barabara kwenye zebra ni changamoto tunamuunga mkono kwamba kweli ni changamoto, sasa changamoto yenyewe si ndo madereva hawa.
jamaa wanataka kusema ulaya huko mvuka barabara anahangaika kama hapo dar
Unatoa maelezo mengi kutetea uvunjifu wa sheria. Hiyo ya fine ya hadi £2500 au gari kupondwa kwa kutupa uchafu barabarani (Tipping) ipo wazi na inasimamiwa na mamlaka za eneo husika na wanatumia Camera kwa baadhi ya maeneo kunasa watu wanaofanya hayo makosa.Kama na wewe umeishi UK basi unajua fika kuwa unachofanya hapa ni kupotosha makusudi ili tu kuingiza siasa za vyama na kuwasingizia 'Chadema' [civics]. Mgomo wa madereva unahusu haki zao za kazi na mkate wa familia zao, hauhusiani na vyama vya siasa [civics].
Kama kweli umeishi kule, unajua vizuri kuwa hukumu za faini kama £2,500 au gari kuponzwa hazitolewi kiholela barabarani na askari trafiki. UK kuna kitu kinaitwa Due Process (haki ya kusikilizwa). Polisi hawawezi kukuhukumu; ni lazima upewe nafasi ya kwenda mahakamani mbele ya Majaji au Mabaraza ya Wazee (Juries), na ukiwasilisha utetezi wa dharura ya kibinadamu au mazingira magumu ya barabara, unaachiwa huru au adhabu inapunguzwa.
Lakini uzuri ni kwamba, kwenye hoja yako ya mwisho umejipinga mwenyewe na kuua utetezi wako wote. Umekubali kuwa barabara za Tanzania zina speed limits zisizo na maana kama 30 na 50 kwenye highway, na spidi za konokono zinazosababisha dharura za ku-overtake.
Sasa kama umeishi UK, unataka kuwaaminisha watu hapa kuwa serikali ya UK inaweza kuweka mfumo wa kidijitali wa VTS unaokata points za dereva moja kwa moja, halafu iweke spidi za hovyo za 30 au 50 katikati ya highway? Kule UK spidi zinalenga kurahisisha usafiri kwa usalama, sio kutega madereva ili wapoteze leseni zao. Kule dereva akiongeza kasi kwa sekunde chache ili kukwepa dharura au ku-overtake gari la konokono kwa usalama kama ulivyosema, mfumo unatoa nafasi ya kukata rufaa na kusikilizwa. Huku kwetu VTS inakuhukumu kiholela kwenye miundombinu mibovu, bila weledi wala haki ya kukata rufaa.
Ndio maana nimesema wazungu hawawezi kushangaa huu mgomo; wanajua fika kuwa huwezi kuchukua adhabu kali za nchi ya kwanza (First World punishments) ukazipandikiza kwenye nchi yenye miundombinu mibovu na usimamizi usio na uwazi. Kama kweli umeishi UK, acha kuficha ukweli wa mifumo ya haki ya kule kwa ajili ya siasa za huku nyumbani!
Hao akina Mwaipaya linawahusu nini suala maderevaWanaharakati aamejiingiza how kwenye huu mgomo wa madereva? So far ni madereva? Wana harakati wana nafasi gani?
Pole sana, umeishiwa hoja ndugu.Wewe mwana CCM habari za jioni ndugu yangu. Kadi yako ni namba ngapi ili nijue naongea na mwanaccm wa juzi ama wa kitambo
ngoja tumsikilize waziri anaongea nao liveChangamoto zipo hususan miundombinu lakini pia hatujui tunachokihitaji
Kwanza kabisa naomba unieleze ni madereva gani hao ninaowatetea unaodai wanavunja sheria? Hapa hatutetei uvunjifu wa sheria, bali tunatetea haki ya msingi na ya kikatiba ya madereva kufanya maandamano na migomo pindi wanapoona mifumo inakandamiza maslahi yao ya kazi. Hapo hata kama ulikuwa na pointi nzuri, unajikaanga na kupuyanga kwa kuchanganya kupigania haki na uvunjifu wa sheria.Unatoa maelezo mengi kutetea uvunjifu wa sheria. Hiyo ya fine ya hadi £2500 au gari kupondwa kwa kutupa uchafu barabarani (Tipping) ipo wazi na inasimamiwa na mamlaka za eneo husika na wanatumia Camera kwa baadhi ya maeneo kunasa watu wanaofanya hayo makosa.
Sipingi tu kama wewe ndo maana nimeonesha maeneo ambayo yana changamoto na ambayo madereva wanaweza kuyatumia kujenga hoja zao. Kusema najipinga huko ni kutokuelewa nilichoandika. Usitumie maelezo mengi kuchanganya watu na kutetea uvunjifu wa sheria.
Hebu tueleze ni wapi na lini UK waliaandamana kwa sheria kupinga sheria za barabarani ?Unaongea nini bro? hapa nilipo nchi ya watu wanagoma maea kibao. Si kila taratibu inayowekwa na serikali inakubalika, even haPA Uk watu wanaandamana.
Ni serikal kuja namna ya kutekeleza hilo suala
akili finyu ungekua smart ungegundua kwanini nimeandika hiviPole sana, umeishiwa hoja ndugu.
+ rushwaChangamoto zipo hususan miundombinu lakini pia hatujui tunachokihitaji
Kama kweli umeishi UK basi historia yako ina mapengo makubwa, kwasababu maandamano na uasi dhidi ya sheria za barabarani kule una historia ndefu mno. Twende kwenye mifano ya lini na wapi:Hebu tueleze ni wapi na lini UK waliaandamana kwa sheria kupinga sheria za barabarani ?
ok.Katika nchi ambayo watu wanatekwa na kuuawa bila uchunguzi, wanapotokea mashujaa na kutangaza mgomo kwa lengo la kuchagiza madai yao ni lazima wapongezwe
Nachukua nafasi hii kuwapongeza Madereva ambao pamoja na hatari ya kutekwa na kuuawa lakini wamegoma. NCHI IMEFIKA PATAMU
UJUMBE: WENYE NCHI NI WANANCHI
Kwa kosa lipiWatashughulikiwa
Mwaipaya ni mpumbavucdm hizi harakati za kina mwaipaya zina changamoto na kudhihirisha matatizo mengi
View attachment 3680380
hivi hapa hata hawa wazungu hawashangai kweli? dereva anagoma kufata sheria za barabarani
haya ni maajabu sana