Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Shule za primary zote zifundishwe kwa lugha ya kingereza hapo mnaweza kufaulu
 
Huyo Pascal Mayalla huwa ananifurahisha sana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Mwaka huu alipewa uwakili wa zawadi kutoka kwa waziri, basi kutwa kuchwa kuwatusi vijana wa LST kwamba ni vilaza.
Duh...!, kumbe kuna uwakili unaotolewa kama zawadi kutoka kwa Waziri!. Maadam Tanzania tuna sheria ya LST, ni waziri gani huyo mwenye uwezo na mamlaka ya kumpa mtu uwakili wa zawadi bila kupitia LST?.
P
 
We pascal mayala ungekuwa una akili usingekuwa unafirwa na yule boss mstaafu wa ATCL.
Uwe na heshima na staha na watu wazima. Pascal ni mtu tunayemheshimu na kutambua mchango wake huku JF. Hata kama una matatizo yako binafsi, sio sahihi kumtukana mwenzio tena mtu mzima kuliko wewe. Hata kama malezi yako hayakuwa mazuri, jitahidi uheshimu wazi wazima. Mods tafadhali pigeni ban huyu kilaza.
 
Kwenye Elimu Tanzania kila mzazi ampiganie mwanae tu. Hakuna kitu CCM inaweza deliver. We peleka mwanao VETA. MTAFUTIE MTAJI AINGIE KUPAMBANA
 
Uwe na heshima na staha na watu wazima. Pascal ni mtu tunayemheshimu na kutambua mchango wake huku JF. Hata kama una matatizo yako binafsi, sio sahihi kumtukana mwenzio tena mtu mzima kuliko wewe. Hata kama malezi yako hayakuwa mazuri, jitahidi uheshimu wazi wazima. Mods tafadhali pigeni ban huyu kilaza.
Huo ugomvi huujui chanzo chake kaa kimya waache wapambane wenyewe.
 
Ungekuwa mtu mzima ungekuwa unafirwa?

Acha ushoga we mzee, na ukiendelea ntakuumbua mpaka ukome.
 
Huo ugomvi huujui chanzo chake kaa kimya waache wapambane wenyewe.
Nawe toa ujinga wako hapa. Aache kutukana watu wazima. Kama mods wataruhusu watukane wengine eti kisa ugomvi hakutakuwa na maana ya kuwa na JF. Kama wana ugomvi sisi hautuhusu au lah, watafutane nje ya JF na wazichape
 
Acha ushoga. Usijifiche kwenye uzee.

Usitake kutia tia huruma hapa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Samahani kwa lugha yangu kali.
Hapo unaongea blah blah zilizopandikizwa kwenye akili zwtu kwa makusudi.

Hapo umeongelea kinachofanyika na sivyo inavyotakiwa.
Serikali inapaswa kupeleka mapendekezo ya kutungwa sheria Bungeni na kupitia Chief Draftsman Bunge linapaswa kuainisha taratibu namna sheria hiyo inavyopaswa kutungwa na kuwapa nafasi wawakilishi wa wananchi kutimiza wajibu wao.

Unajua hii kuiacha serikali itunge sheria kisha kuipeleka Bungeni for approval ndo ujinga tunaopaswa kuachana nao kupitia Katiba Mpya..

Tuepuke kuishi ktk ujima
Mimi siongelei katiba mpya hapa naongelea majukumu ya Serikali na bunge hayo ya katiba mpya nadhani huu sio uzi wa hilo lakini nataka nikujibu pia hayo sijui ya kupeleka kwa Draftsman ni majina tu ila wanachofanya ni hayo hayo kila mswaada wa mabadiliko unapitia kwa kamati za bunge kabla ya kujadiliwa na kama mabadiliko ni huko kwenye kamati kwa ufupi bunge linajadili miswaada inayoletwa na serikali na anayeleta mabadiliko kama ya taratibu au sheria ni Gov bunge hawawezi kuleta mswaada halafu wa kajadili wenyewe hiyo sio kazi yao wanaweza kuleta mjadala wa dharura na kupeleka mapendekezo serikalini ili walete bungeni kama mswaada. Ya katiba mpya hayo mengine
 
Ungekuwa mtu mzima ungekuwa unafirwa?

Acha ushoga we mzee, na ukiendelea ntakuumbua mpaka ukome.
Naona dogo umeamka na stress. Vipi leo wamekuamsha na umetoa godoro mapema hapo sebuleni kwa dada yako mauncle wanataka kwenda shule? Mimi nimkushauri, si vyema kumtukana Paschal. Ni mtu mzima nimewahi kuona TBC. Ni mtu tunayemuheshimu na kutambua mchango wake huku JF. Naamini ni mkubwa kuliko wewe. Jitahidi kumheshimu.
 
Duh...!, kumbe kuna uwakili unaotolewa kama zawadi kutoka kwa Waziri!. Maadam Tanzania tuna sheria ya LST, ni waziri gani huyo mwenye uwezo na mamlaka ya kumpa mtu uwakili wa zawadi bila kupitia LST?.
P
Lini umepita LST wewe!

Lini? Mwaka gani?

Huo uwakili wa zawadi uliopewa uzeeni hauwezi kuwa sababu ya kuwaita watu vilaza. Acha ujinga wewe!

Halafu pia hauna usmart wowote. Ungekuwa smart usingepigwa pumbu na boss wa ATCL.
 
Naona dogo umeamka na stress. Vipi leo wamekuamsha na umetoa godoro mapema hapo sebuleni kwa dada yako mauncle wanataka kwenda shule? Mimi nimkushauri, si vyema kumtukana Paschal. Ni mtu mzima nimewahi kuona TBC. Ni mtu tunayemuheshimu na kutambua mchango wake huku JF. Naamini ni mkubwa kuliko wewe. Jitahidi kumheshimu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Kama kweli anajiheshimu aache kutukana watu.

Akitukana watu na sisi tutamuumbua tu madudu yake.
 
Nazile special school zitapataje wanafunzi?.Maana mitihani wa darasa la Saba ndiounao tumika kupata vinara na kuwapeleka huko kwenye hizo special school.😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Kila siku huwa unalalama mawakili wetu wa sasa hawana uwezo kama wale wa zamani, sijui hao mawakili wetu hutokea wapi kama sio LST.
Sio nalalama, its a fact!, kwa mawakili tulionao sasa, ni wakili gani anemkaribia Murtaza Lakha?. The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!
Kumbe basi hata LST hutoa vilaza.
Naomba ku reserve my comments!.
Na unavyotaka tuwaige Marekani, hizo facilities ikiwemo standard ya education itafanana nao? ikiwa huku kwetu walimu wachache, hakuna vitabu vya kutosha, nk..
Kama kila mtu ana simu janja, vitabu vya nini wakati you can get everthing online?. Juzi kati nimepita Doha, kuna fight toka Tokyo, vitoto vya Kijepu 4 years vinacheza computer games kila mmoja na laptop yake!, wewe bado unazungumzia vitabu?!

Ile shule ya Salma Kikwete, Wama Takayama, huyo Takayama ni tajiri mkubwa Japan, shule nzima wamepewa vishikumbi!.

Binti yangu ya 6 kaingia form V shule fulani ya boarding, hawaruhusu mwanafunzi kuwa na simu, wala laptop!, nikauliza hata kwa A level?, ujima gani huu?. Nenda pale IST utashuhudia vitoto grade 3 vina macho matatu!, leo mtu wa form 6 haruhusiwi kuwa na laptop!, mabadiliko haya yataondoa ujinga huu!.

Juzi kati nimemsindikiza wife kusali kanisa fulani la walokole, kufika tunaambiwa lazima tuwe na Bible ili kufollow mafundisho, tukajibu tunazo, onyesheni, ziko kwenye simu, tukaingia. Wakati wa Bible study nashika simu kufollow, nafuatwa na mhudumu, na kuambiwa "acha kuchezea simu kwa ku chat wakati wa mafundisho", nikamwambia hii ndio Bible yangu!, nikaelezwa hairuhusiwi! na nikiendelea nitanyanganywa simu na sitarudishiwa!.
Nilifunga simu na sikumbuki kama niliweza tena kufollow, nilibaki nikimshangaa wife alivyotekwa akili na huyo mwenye kanisa!.

P
 
Maoni.yangu binafsi kwa serikali

LUGHA YA KUFUNDISHIA iwe kiingereza toka chekechea had darasa la sita sababu dunia ya Sasa imebadirika kiingereza ndiyo lugha ya soko kwa Sasa iwe ajira au biashara

KUANDAA WALIMU WATAKAO ENDANA NA MFUMO Kabla huo mswada haujapita walau serikali ingeandaa mpango Kaz mzuri wa utekelezaji wa mfumo mpya kwan tunaona walimu waliopo hasa shule za serikal hawakidhi mahtaj ya. soko la ufundishaji

Hivyo kubadili muundo na kubak na aina ya walimu wa aina hii n sawa na kujifunga kitanzi sisi wenyewe kumbuka hakuna Tena mtihani utakao mpima mwalimu hvyo watajiachia zaidi na kufundisha kwa kulipua kazi yaan bora liende

MFUMO WA UPIMAJI WA MTOTO KWA MIAKA HII 6 Serikali iandae mfumo mzur kwa mtoto wa upimaji kwa kipind chote awapo shuleni ili kuona mwenendo wa kitaaluma wa mwanafunzi unaendaje kuwaacha tu kwa kujidanganya kwa mitihani ya midterm na terminal nadhan Kuna bomu litakuja kilipuka huko mbele halafu tushikane uchawi

SERA MPYA IANGALIE NA VIPAJI VYA WATOTO kuwe na utaratibu wa kuchunguza vipaji vya watoto Kama mpira uimbaji na sanaa nyingine na kuviendeleza zaidi ikiwezekana kutengwa shule maalum za vipaji hivyo

UCHAGUZI WA TAHASUSI UANZIE DARASA LA TANO Kama mwanafunzi akifika darasa la tano walimu waweze kutambua uwezo wa vijana wake na kipi wachague ili wakifika kidatocha kwanza waendelee na mchepuo waupendao Kama n sanaa au sayansi

BIASHARA LIWE SOMO LINALOJITEGEMEA Kwakuwa vijana wataanza kuchagua tahasusi toka kidato Cha kwanza bas somo la biashara lianzwe kufundishwa toka shule ya msingi ili kijana akifika kidato Cha kwanza Kama atalipenda bas aendelee na mchepuo huo
 
Back
Top Bottom