Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Wadau wapendekeza Elimu ya Msingi kuishia darasa la 6

Walimu hawa wa nacte hamna wa kufundisha kieng kwa ufasaha bruh
Labda waanze kuandaliwa sasa hv niamini mimi primary nimefundishwa na walimu asilimia kubwa kutoka kenya
Mwalimu wa kibongo akija kufundisha akiongea darasa zima tunacheka jinsi anavyoongea kieng mpasuko 😆
Wakenya nao kingereza chao kimeathiriwa sana ma mother tongue,
 
Daa nchi yetu ina laana. Tatizo ni kwamba viongozi wanadhani wana akili sana kiasi cha kufanya mabadiliko kwa njia ya zimamoto bila kushirikisha wadau na wananchi kwa ujumla. Hili linaweza kuja kuwa bomu jingine ambalo litaharibu kabisa elimu. Kila mtu anakubali kuwa elimu yetu inahitaji mabadiliko, lakini hili la wansiasa wachche wasio na maono kukaa sehemu moja na kujaribu kuja na solution hakutasaidia chochote.
Kama nchi kwakweli kuna haja ya kutengeneza mifumo ya kuwabana wanasiasa wanaolala tu na kuamka na mawazo yao na kuyatekeleza.

Utasikia wadau walishirikishwa lakini kumbe kiuhalisia hao wadau ni watu wa karibu.

Ushirikishwaji wa wananchi kwenye utungaji wa sheria ni mdogo sana au ni kama hakuna kabisa.
 
Je, hayo mabadiliko ndio yatatibu vipi matatizo ya kielimu?
 
Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga, amesema kuwa katika sera mpya inayotarajiwa kuzinduliwa hapo baadaye elimu ya msingi itakomea darasa la 6.

Kauli hiyo ameisema hii leo Oktoba 20, 2022, na kuongeza kwamba sera mpya ya elimu itakapozinduliwa hakutakuwa na mtihani wa mwisho wa elimu ya msingi na kwamba mtihani utakuwa ni wa kidato cha nne tu, huku akisema mwanafunzi akianza kidato cha kwanza atakuwa tayari ameshajiweka kwenye mchepuo maalum hadi kidato cha nne.

Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Kipanga amesema kuwa serikali inatazamia kuzindua sera mpya ya elimu kufikia mwezi Desemba, 2022 ili kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta ya elimu na kwamba mabadiliko yataanzia elimu ya msingi.
Safi kabisa
 
Mnajua how expensive is hyo system mnayoitaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] the cheapest one imewashinda mnarukia expensive shit?? Wabongo bhana
 
Yawezekana ikawa ni jambo jema.

Maana mfumo uliopo wa darasa la saba una. Makondo makando mengi.

Mitihani kuvuja

Gharama. Nyingi za kuendesha zoezi la mtihani wa taifa na bado inavuja Kila mwaka.

Hizo pesa za mitihani wazielekeze kwenye mitihani ya ndani ya kwa kununuanvya kisasa kufanikisha zoezi

Pia pesa hizo zitumike kuwa morale walimu Kama posho.
 
Serikali yote (Wizara ya Elimu) imekosa wataalamu mpaka ufanyike mchakato kama wa katiba ya Warioba???? Tatizo hatupo tayari kwa mabadiliko. Tusikariri maisha sio Nursery-Primary-Secondary
Wako maprofesa fulani waliwai kujifungia kuhusu jambo fulani alafu wakaja na kitu cha ajabu.Usiamini sana waalamu wetu kwasababu mara nyingi wanakua nusu wataalam nusu wanasiasa.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Lots and lots of advantage!,
  1. Kwanza Tanzania tunaingia kwenye mapinduzi ya Elimu, hakuna tena daasa 7, bacic education inakuwa ni elimu ya form 4!.
  2. Watoto wanaanza shule wadogo na kufundishwa kujitambua mapema, samaki mkunje angali mbichi. Darasa la kwanza ni akiwa miaka 6 na kumaliza primary at 12!.
  3. Hakuna mimba za utotoni kwa primary school, hivyo sasa watapevukia sekondari na somo la sex education ndio somo la kwanza sekondari.
  4. Mtoto akiwa primary anapimwa amplitude tests za kuangalia brain ppwer yake kipaji chake anaweza nini na sio tuu anapenda nini, anapendeshwa kile anachoweza na hii itapunguza sana watu kutaga!.
  5. Specialization inaanzia form I. Hivyo wanafunzi tangu anasoma sekondari anajua anakwenda kuwa nani, sio mtu anauwezo na sheria, halafu kwenye HDD yake umzamishie Abbot na Nelkon na kujaza bure savers zake na kumpotea muda.

  1. Kutakapotokea wimbi la Wanafunzi kufeli Kwa wingi katika mitihani ya kidato cha nne, msianze kuwalalamikia walimu kwamba ndiyo chanzo.
    Tangu darasa la kwanza mpaka kidato cha nne ndiyo anaukuta mtihani! Mhhh! Ngoja tusubiri tuone itakuaje.
    Kuna wadau hapo Juu wamesema Inawezekana ni sera ya "try and error process"..
 
Back
Top Bottom