Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

Screenshot_2025-01-10-16-33-00-1.png

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,

hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.

hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipooooooz🐒
 
Subiri uchaguzi wa mgombea wa CCM 2030
 
Ni ajabu kwa kweli. Hata ivo ni kama kwa sasa ccm kukoa kimya sana hawa jamaa hawaakagi kimya bure ni lazima kuna jambo linafanyika nyuma ya pazia we subirh tutajua tu. Eti hawa jamaa media zote waziache zimulike chadema? Kuna kitu hapo lazima.
 
Vichaa huongeleshwa na vichwa vyao, halafu wanajibu kwa midomo yao
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Hili la Cdm linatuvuta maana dikteta kapata kigingi awamu hii.

Mbowe arudi Machame akachome Mbuzi na jirani zake Wamasai.
 
ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,

hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.

hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipooooooz🐒
Kibaraka ni wewe ambaye akili zako umezikabidhi kwa watu.
 
Unaona madhara ya kukaa madarakani muda mrefu, heshima yako inashuka sana
IMG_20250110_232354.jpg
 
ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,
Tulia . Wewe ni kibaraka wa wakoloni wa zanzibar.

Lakini pia mapinduzi ya zanzibar yaliletwa na m-magharibi John Okello kutoka magharibi ya Tanganyika.

Kwa hiyo ni bora kuwa kibaraka wa wamagharibi kuliko kuwa kuwa kibaraka wa wakoloni kutoka zanzibar.
 
nikuhakikishie tu gentleman without fear of contradictions kibaraka atadhibitiwa kabla ya uchaguzi wenyewe na kwenye uteuzi, na ikiwa vinginevyo basi kibaraka atazuiwa kwa kura za wajumbe wa mkutano taifa kwa fedheha na aibu kubwa sana.

kibaraka atajiengua na ataondoka chadema kwa aibu sana gentleman 🐒
 
Back
Top Bottom