Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #61
ππππKumbe kulikua na mkutano wa kitaifa CCM ndio nimejua leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ππππKumbe kulikua na mkutano wa kitaifa CCM ndio nimejua leo
Hivi wewe unafikiri kama binadamu kweli???ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,
hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.
hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipoooooozπ
πππππHivi wewe unafikiri kama binadamu kweli???
Au unafikiri kama KENGE NA DIGIDIGI??
una ugomvi Gani n wanaoitwa Mabwenyenye?? Huko kwa mabwenyenye ndiyo mnaenda KUHEMEA hela ya bajeti zaidi ya asilimia 40%Kila Mwaka!!π π€£π π€£
Naona wewe ulienda shule KUSOMEA UJINGA.Wazazi walitakiwa wafuge NGURUWE kuliko kusomesha mtu kama wewe.
Walifanya matumizi mabaya san ya yale MAJI MAZITO KIASI AMBAYO YANAFANANA NA MAFUA MEPESI KIASI, π π π π€£π π€£ walitakiwa YALE BMAJI WAPENGE PEMBENI π€£π π€£π€π€ππ΄π΄π΄π΄
Dalili ya mvua ni mawingu.Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?