Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Pre GE2025 Wadau washangazwa na Kitendo cha Mkutano Mkuu wa CCM kupuuzwa, huku wa Chadema ukiwa Gumzo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,

hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.

hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.

Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. PipoooooozπŸ’
Hivi wewe unafikiri kama binadamu kweli???

Au unafikiri kama KENGE NA DIGIDIGI??

una ugomvi Gani n wanaoitwa Mabwenyenye?? Huko kwa mabwenyenye ndiyo mnaenda KUHEMEA hela ya bajeti zaidi ya asilimia 40%Kila Mwaka!!πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£

Naona wewe ulienda shule KUSOMEA UJINGA.Wazazi walitakiwa wafuge NGURUWE kuliko kusomesha mtu kama wewe.

Walifanya matumizi mabaya san ya yale MAJI MAZITO KIASI AMBAYO YANAFANANA NA MAFUA MEPESI KIASI, πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ€£πŸ˜…πŸ€£ walitakiwa YALE BMAJI WAPENGE PEMBENI πŸ€£πŸ˜…πŸ€£πŸ€”πŸ€”πŸ˜ƒπŸš΄πŸš΄πŸš΄πŸš΄
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Makalla naye anaijadili Chadema, badala ya kujadili Mkutano wa Chama chake
 
Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki

View attachment 3198445

Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.

Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Dalili ya mvua ni mawingu.
 
Hapa Looser ni Mwananchi ambaye ni Mlipa Kodi na Defacto Mfadhili wa hivyo Vyama through Ruzuku na anachoambulia ni so called Hamasa au lack of kila Miaka Mitano ya Uchaguzi...
 
Huoni jinsi Viongozi wa Chadema wanavyo dhalilishana na kuumbuwana hadharani?
Watu na wanachama wanashangaa jinsi viongozi w.
CCM mambo yao mazuri
 
Back
Top Bottom