Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Subiri uchaguzi wa mgombea wa CCM 2030Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu,pigo lililonyooka, pigo takatifu.Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Unapigana na nani?Vita ndio huwa Habari Duniani kote
Hili la Cdm linatuvuta maana dikteta kapata kigingi awamu hii.Wengine wanasema kwamba tangu wazaliwe hawajawahi kuona hamasa kubwa ya Chama cha Upinzani kwa kiwango cha kufunika ccm kwa kiwango hiki
View attachment 3198445
Taarifa zingine zinadokeza kwamba hata hili la Mrithi wa Kinana limechomekwa tu ghafla ili kujaribu kutafuta Kiki na labda kufifisha uchaguzi wa Chadema, hata hivyo limebuma.
Sasa swali letu ni hili, Kufunikwa huku kwa ccm ni Ishara ya Jambo gani?
Kibaraka ni wewe ambaye akili zako umezikabidhi kwa watu.ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,
hata hivyo,
mambo mengine kwenye vyama vya siasa vya kisasa, yanafanyika kisayansi zaidi.
hakuna sababu hata moja wala haja ya kubabaika nao. Wako very formal, wako very disciplined, wako very united, wako very serious, wako focus na very uniform kuhakikisha jambo lao linakwenda kufanyika kwa salama na amani kwa mafanikio makubwa sana.
Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
Mungu Ibarki Chadema. Pipooooooz🐒
Tulia . Wewe ni kibaraka wa wakoloni wa zanzibar.ni muhimu zaidi kuhakikisha kibaraka wa mabenyenye ya magharibi anadhibitiwa vyema na kwa uhakika, ili hatimae chadema iwe chini ya mikono salama,
Hakika umesema kweli. Simba kula swala siyo habari. Habari ni swala kumla simbaVita ndio huwa Habari Duniani kote
nikuhakikishie tu gentleman without fear of contradictions kibaraka atadhibitiwa kabla ya uchaguzi wenyewe na kwenye uteuzi, na ikiwa vinginevyo basi kibaraka atazuiwa kwa kura za wajumbe wa mkutano taifa kwa fedheha na aibu kubwa sana.Tulia . Wewe ni kibaraka wa wakoloni wa zanzibar.
Lakini pia mapinduzi ya zanzibar yaliletwa na m-magharibi John Okello kutoka magharibi ya Tanganyika.
Kwa hiyo ni bora kuwa kibaraka wa wamagharibi kuliko kuwa kuwa kibaraka wa wakoloni kutoka zanzibar.