Wadau wenzangu wa Forex...

Zinafeli kwa sababu unatest na kuacha kwa sababu ya tamaa ya kutaka strategy itakayokupa hela haraka! No holy grail strategy! Cha kufanya chagua strategy moja kama vile BTMM, Demand and Supply au order flow kisha komaa nayo kwa miaka mitano utaona matunda! Forex siyo rahisi hata kidogo, ukiranda randa na strategy mbalimbali utaishia kuona forex ni ngumu na utaiacha!
 
Akili ndogo haiwezi fanya vitu vikubwa, endelea kubeba tofali
Achana na ujinga wakutafuta watu piga kazi ww
Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile sio asiyetafuta watu kujiunga kwenye

Forex=SHETANI
 
Achana na ujinga wakutafuta watu piga kazi ww
Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile sio asiyetafuta watu kujiunga kwenye

Forex=SHETANI
Na maandiko hayo hayo yanasema "watu wangu wanaangamia Kwa kukosa maarifa"
 
Aiseeeee umepiga kichwani mwamba anafel sana ila majibu mazuri kwa watu wasumbufu kama huyu
 
Tofauti yenu na forex ya mabenk wenzenu uwa hawachomi account.
We ulidhani forex huwa wanauza tu.
Forex inaenda kwa kununua Sarafu inaposhuka thamani na kuuza pale inapopanda thamani.....it's totally pure businessAtaelewa tu,
 
Siku hizi sina presha kabsa na sichomi tena account natageti only 5% of my capital yaani nikiwa na mtaji wa $100 naweka lot ya 0.10 then ngoma ikifika kuanzia 5 to 10 pips natoka zangu yaanì hapo kwa mwezi ninadable account na kingine nilichokifanya ni kuwa na account tofaut na ninazo tatu moja ni ya matumizi y kila siku nyingine ya ujenzi na nyingine natembea nayo mwaka mzima, so hebu jaribu kufikiria kila mwezi acount inakuwa dabod kwa mwaka itakuwa ngap na strategy yangu ni simpo sana nafanya top down analisis from d1 to 15 na entry zangu ni 15 hapo ni kugusa tuu nishapata changu then nakaa pembeni
 
Mbona wapo wengi wanaopiga pesa na wameweka ushuhuda huku?
Kuna jamaa anaitwa Ccnp engineer humu JF alikua anakuja kutamba yeye anaingiza mamilion kwny forex sijui nini,mara paap kaanzisha thread anaomba ushauri anataka akope mil 5. afu aache kazi ili aanzishe biashara ndogondogo,hahah nilicheka sana aisee.
 
Nimemtafuta nani acha akili za kinyumbu wewe
Achana na ujinga wakutafuta watu piga kazi ww
Maandiko yanasema asiyefanya kazi na asile sio asiyetafuta watu kujiunga kwenye

Forex=SHETANI
 
Safi sana
 


asante kwa ushauri huu mujarabu kabisa mkuu
 
Je unajiuliza maswali mengi mfano:

Nitaweza kutrade forex ?
Nitakuwa profitable forex trader?
Hivi hii ni fursa/carrier sahihi?
Kwanini nisiache tu hii biashara?

Na mengine mengi kama hayo njoo inbox nikupe dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…