Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

Wadau wote wa Nishati Vyuo Vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K Tuungane Kutazama Mkutano wa Nishati Afrika 27-28 January 2025

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2020
Posts
7,899
Reaction score
10,415
Lengo la Mkutano huu ni Waafrika Millioni 300 wakiwemo Watanzania Millioni 8.3 kupata umeme ifikapo mwaka 2030.

Tazama Live Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika Kuhusu Nishati (Africa Energy Summit)

Wadau wote wa nishati vyuo vyote Nje na Ndani ya Tanzania, UDSM, UDOM, DIT N.K tuungane kutazama huu mkutano:
1. Petroleum Engineering
2. Oil and Gas Engineering
3. Petroleum Chemistry
4. Chemical Engineering
5. Mechanical Engineering
6. Energy Engineering
7. Economics
8. Oil and Gas Accounting
8. Geology
9. Geological Engineering
10. Geoscience
11. Geophysics
12. Electrical Engineering
13. Wadau wote wa Nishati

AGENDA ZA MKUTANO NA KUJISAJILI: Marais 24 wa Afrika. Rais wa Bank ya Dunia, Rais wa Bank ya Afrika, n.k na Wengine 2600 kuhudhuria Mkutano Nishati Kesho

Sharing is Caring 🤝
 
Kitu nilichoshangaa ni TBC kujaribu kutafsiri mkkutano wote kama mkutano wa Injili.

Ni kana kwamba watanzania hatujui English ay lengo la TBC lilikuwa ni kutaka tusisikie maoni ya wataalamu kama wanavyotaka tusisikie maoni ya wapinzani.

Maandalizi mabovu.

Nadhani ni vema watanzania tupewe fursa ama kutafasiriwa ama kusikia kitu live kwa kichagua steshemi mbali mbali za TV.
 
1.jpg
 
Back
Top Bottom