Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Kisa chako ni Kama changu 2016, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana. Ukitaka wife material oa mwanamke ambaye ni wakawaida asiyena mvuto
 
Halafu utakuta hao dada zake hawajaolewa . Kwa kifupi inaonekana huyo jamaa ana Hela. Tutafute Hela
 
🥲Pole kiongozi Unawezaje kuishi na mtu anaeatafutiwa mtu na dada zake hata ukioa utasumbuliwa badae maana akili kichwani zimeshikiliwa kwao hawezi tumia uo ubongo wake …. Sema mna moyo mpaka mnawaza na kuoa kabisa
 
Kisa chako ni Kama changu 2016, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana. Ukitaka wife material oa mwanamke ambaye ni wakawaida asiyena mvuto
Kisa chako kilikuwaje kaka ?
 
Aiseee umfuate nini jamaa kwani ndio utakae Muoa?
We unaetaka kumuoa ni huyo demu sasa kashaonyesha hana mapenzi na wewe we piga chini tafta Chaka Jingine.
 
Aiseee umfuate nini jamaa kwani ndio utakae Muoa?
We unaetaka kumuoa ni huyo demu sasa kashaonyesha hana mapenzi na wewe we piga chini tafta Chaka Jingine.
Nimeshafanya hivyo kaka.
 
Kisa chako ni Kama changu 2016, hawa viumbe ni kuishi nao kwa akili sana. Ukitaka wife material oa mwanamke ambaye ni wakawaida asiyena mvuto
Sasa mwanamke asiye na mvuto wewe atakuvutia nini?

Mapenzi ni hisia, lazima ule kitu roho inapenda.

Angekupenda asingefanya hayo, Kutaka kumwambia muoaji ni kama unalazimisha ndoa. Wataachana lakini hata ukimuoa kuna siku atakuliza

Asikuhadae na kujifanya kwake bado anataka mawasiliano na wewe hiyo ni hulka ya kimalaya

Anaolewaje na mwingine na anawasiliana na mwingine?
 
Poleeeeeh kwa maumivu. Kuna maisha nje ya mahusiano ya kimapenzi.
 
Umwambie ukweli gani? Majitu majinga ya kuchezewa na wanawake hamtakaa muishe Duniani.

Tufanye umemwambia sawa,sasa unaoa mtu ambae hakupendi? Ukija kujinyonga usije kusimulia humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…