6WaS9
JF-Expert Member
- Mar 2, 2021
- 2,562
- 3,028
Ndio hilo jambo watu hawataki kurlewa ukiwa na pesa sio tu utapata wadangaji wengi utakaowaona ni wapenzi bali hata "marafiki fake" hata ndugu lawama watajipendekeza na kukuheshimu mahusiano yyte katika jamii hayatagemei pesa kutengenezwa!Upo deep sana mkuu. Mwanzoni mwanamke ataolewa na mtu kwasababu anapata kila kitu, akishazoea raha zote (kupata mahitaji yote) ndio mapicha picha yanaanza kwasababu anakuwa hana hisia na huyo mwanaume.
Ofcourse pesa ni muhimu sana katika maisha, lakini usitumie pesa pekee kutengeneza mahusiano yako na watu ..hata watoto wako..
Ndio maana unaweza kuwahudumia na kuwatunza vizuri watoto wako kwa pesa ulizonazo na still ukahisi kama wanaupendo zaud na mama yao kuliko wewe...
Ni kwasababu hujaweza ku connect nao vizuri