Village fooler
JF-Expert Member
- Mar 16, 2020
- 706
- 1,425
If relationship didn't work, be grateful for the beautiful moments you shared together and move on. There's always a positive reason why you couldn't be together look for it and embrace.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
If relationship didn't work, be grateful for the beautiful moments you shared together and move on. There's always a positive reason why you couldn't be together look for it and embrace.
Legend! [emoji23][emoji23]Jitahidi ule dada zake
Unataka umwage mboga!?Mimi nimekubali matokeo lakini namuona binti kama anataka tuendelee na kuwasiliana nikamwambia huo ujinga siufanyi aheshimu mawazo yake.
Ila katika kuwaza na kuwazua na kuunganisha nukta nikapa wazo au nimchane mdau nini ?!
[emoji23][emoji23]Kesho Utarumdia, Mkuu?
Mkuu hii kesi nishaimaliza kitambo sana, miaka takribani tisa ishapita niliamua ku-move on!!Kesho Utarumdia, Mkuu?
Tatizo linakuja pale mmojawapo anaposhindwa kukubaliana na ukweli kwamba its over.Mambo yangekua hivi kwa kila mmoja wetu hata mauaji ya wenza yasingetokea
hahahaha! Mbona yeye hafikirii mwenzie upendo utalipwa kwa uaminifu ila moto ni kwaoto
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]naona mwaka umeanza vibaya kwa kumtesa mpwa wetu
Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
ukifunga kitabu funga moja kwa moja. udirudi kuchungulia ndani. piga chini. namba blacklist. utabarikiwa utapata mwingine karibuniKiukweli nimemuacha ila ameniomba msamaha nimemsamehe na anataka tuendelee na mawasiliano nikamwambia siwezi kuendelea na mawasiliano sababu nakuwa kama simfanyii fair jamaa yake. Nikampiga stop.
Kila muda kananitumia msg na kupiga simu.
Acha huo upumbavu mkuu, tatizo lenu huwa mnaona dalili mbaya mapema kabisa lakini mnazipuuzia!Mimi nimekubali matokeo lakini namuona binti kama anataka tuendelee na kuwasiliana nikamwambia huo ujinga siufanyi aheshimu mawazo yake.
Ila katika kuwaza na kuwazua na kuunganisha nukta nikapa wazo au nimchane mdau nini ?!
Bonge la ushauri mkuu. Kinachotakiwa ni kujitambuaAcha huo upumbavu mkuu, tatizo lenu huwa mnaona dalili mbaya mapema kabisa lakini mnazipuuzia!
Kwa akili yako huyo ni mke wa kuoa? Kwa tabia ulizoziona wewe binafsi?
Kwani Duniani kuna uhaba wa wanawake, huyo demu wako unaye muona pisi, yani ni kama umebahatika kumpata, wahuni wanaume kicheche nawameshapiga chini na kumblock
wamekuachia mluga luga uhangaike naye na demu kakuona hautoshi kati kati ya mahusiano yenu anakuchana live kuwa ana mahusiano na jamaa mwingine ,
lakini bado anawasiliana na wewe kwasababu anakuona zuzu ana ku manipulate anavyotaka kwasababu anakutegemea kiuchumi so anataka ale kwako na kwa jamaa!
-unataka umfuate huyo mdau umwambie nini? Mkuu mbona hziz ni akili za kitoto ? Have a self respect mzee!!!!
Embu chill , mwaka mpya huu piga chini huyo uanze upya ...!
Unakuta unahangaika na kidemu flani hivi kimechoka unakaonea huruma lakini bado kana kutesa
Acha kuintertain drama za wanawake.... sio kila sms lazima ureply....!Nishapiga chini ila chenyewe kinataka kiendelee kuwasiliana na mimi,hapa kinatuma msg kama mvua.