Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,359
- 4,528
Mpe jaribio Moja, mwambie achague kuachana na huyo jamaa na pia akusikilize wewe si kushikwa masikio na ndugu zake. Au aamue kuwasikikiza aendelee na uhusiano mpya.Kiukweli nimemuacha ila ameniomba msamaha nimemsamehe na anataka tuendelee na mawasiliano nikamwambia siwezi kuendelea na mawasiliano sababu nakuwa kama simfanyii fair jamaa yake. Nikampiga stop.
Kila muda kananitumia msg na kupiga simu.
Msikilize atajibu vipi