Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Acha ujinga wewe jitoe mapema kabla treni halijachanganya mwendo, likikoleza spidi utashindwa kuruka, tena ikibidi na hao dada zake charaza mkia wote kwa sababu wanaonekana hamnazo......sijui umenielewa lakini, maana na wewe unaonekana fyatu kidogo
 
Hili ndilo nililo liona yaani watoto wa kike akilo zao ndogo sana.

Na mimi nimemwambia kwamba aheshimu maamuzi yake,ila anataka tuwe tunawasiliana.
 
Huyo ni demu wako wewe uwepo wa wapambe wameangalia ulaji na yeye kashawishiwa kakubali wamepa vigezo mafunzo kweli umezidiwa ila unapendwa wewe, na yule kaingia na ndoa wakati wewe mlapapua guinea, endelee kumla kimazabe na hata akiolewa wewe utamla zaidi na zaidi sitaki maswali najua maana yangu
 
Mimi nimekubali matokeo aisee dogo amenibadilikia balaa.
 
USIJARIBU KUMSHIKILIA MWANAMKE, IKIWA SABABU YA UHUSIANO WENU KUYUMBA NI YEYE MWANAMKE KUPENZIKA NA MTU MWINGINE.



SO MUACHE AENDE.... IKIWA JAMAA NDIO MTU SAHIHI, BASI MWANAMKE KAFANYA LA MAANA.

IKIWA JAMAA SIO MTU SAHIHI ,BASI MWANAMKE ATAKULA SAWA NA UJINGA WAKE.



nmeyasema hayo, kwa sababu weee sio kwamba ulikua umeshamtambulisha, weee ulikua unajipigia tuu, na pengine kwenye KUOA ,ungeoa mwingine.


Alafu unakuja nauzi "Nilikua ndio nataka kumuoa".....lkn moyoni haiko ivo.
 
Achana na huyo demu hana msimamo atakusumbua
 
Aisee mpaka kwao wananijua yaani ndiyo nilikuwa najipanga kwenda rasmi.
 
Aisee.
Sisi wanaume tuna nafasi kubwa zaidi ya kuwaoa wale tunaowataka kuliko wanawake. i.e sisi tuna Choices nyingi kuliko wao.

Kuwa mjanja mwache aende, we mute tu aolewe! Unaumia kwa muda mchache then unakaa sawa.

Halafu unaacha nature ifanye kazi yake.
Unampa miezi tu!!
 
Ukimruhusu anakuja kulipa kisasi atakuacha wewe maumivu yote utayabeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…