- Thread starter
- #61
Nimekuelewa vizuri.Toboa kabisa matundu yote kisha pita vile unyama unyama tu...,,.
aende na alama kamili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa vizuri.Toboa kabisa matundu yote kisha pita vile unyama unyama tu...,,.
aende na alama kamili
Hahahaha,mapenzi yanaumwa kaka acha tu.Umfuate umwambie ukweli wa nn mkuu achana nae hvi bado mnapenda kiasi hcho mpaka karne hii.
Wakawaida tu ila si unajua mapenzi upofu.l
Lete picha yake tukupe credit yake kama kweli ni mzuri.
Nimekuelewa uzuri kaka.Andaa vifaa vya Shule na ongea na Baba akomae alipe ada Kwa wakati usiteseke.
Kweli kabisa kaka.Ulokuwa huna akili ni weyee.Watu wanaangalia maslahi huyo kijana washamuona hana mpango yeye yuko katika penzi wenzako wako katika noti na maslaha ,mapenzi ya mdomo yamekwisha na weye kijana tafuta kazi ufanye mapenzi hayalazimishwi hao wake wapo kibao ndio kwanza wanazaliwa .
Nimeachana naye kaka. Pole sana kwa mkasa ulio kukuta.Mkuu muache huyo mwanamke! Narudia mwache huyo mwanamke!
Najua kuna maumivu unapitia, ila nikuambie mm nimezaa na mwanamke watoto wawili! Tangu 2015 tumeachana 2021 mwezi wa kumi na moja! Nimejikomba, nimejirahisisha, nilichopata nikukatiwa simu na kidume mwenzangu kuzungumza na mimi kiubabe zaidi
Ni maumivu makali ninayoptia, nimeshuka kiuchumi sana ! Nimepoteza vingi sana nawaza hata binti angu mkubwa umri miaka 6 nitamtimiziaje ndoto zake , ukiachana na boy ambae ni mdgo kabisa!
Wew hujafika popote na huyo mwanamke! Kwanini hutaki kushituka mapema? Kwanza huna haja ya kumpigia kidume mwenzio, hilo ni kosa sana la kiufundi nililo fanya! Nilimpandisha kiburi sana mwanamke kujiona yeye ni mzuri sana , japo ni kweli ni mzuri!
Endelea na maisha yako, bado hujafika mbali! Japo niseme , hayo yote yamenitokea haina maaana yeye ndo mwenye makosa sana! Japo kwa mambo aliyonifanyia yeye hakosi kuwa chanzo cha huu utengano, lakini na mimi kama binadamu naamini pia kuna mazingira nilikuwa nakosea! Huu ukweli unaniweka huru sana
Narudia achana na huyo mwanamke
Nimekuelewa uzuri kaka.
Nakutakia utekelezaji mwema japo sio rahisi ila elewa kadri unavyozid kuruhusu uwepo wake ndio kwako inakuwa mbaya alafu nayeye anajiona amekuwin.Ushauri mzuri sana huu kaka.
Jiandae kurudi shule bado siku 12Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
Sometimes ili kumjua mtu unae muoa. Kuwa karibu na dada zake na ndugu zake kwa ujumla. Ukiwa nao karibu, kuna uwezekano wa wao kukupa story au kukupa vihabar kuhusu huyo mwenzio.Habari ya usiku huu.
Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.
Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.
Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?
Ushauri wenu tafadhali.
Nakuelewa vizuri sana kaka.Nina miaka 42; najuta Sana mambo ya kijinga ya kuamini wanawake wakati nipo na umri Kati ya 25 - 30!
Wanawake achana nao; hawana maana; weka vipi unbele vyako vizuri ambavyo Ni:
- Sala, Imani na uaminifu.
- Shuleni/Chuo Kama umejaliwa.
- Biashara au Ajira
Unakutana na wanawake wengi wazuri Mbele; na wote wanaitaji fedha ili uwamudu; Hakuna mapenzi bila uwezo wa kifedha.
Sijui Huyu ana upendo wa kweli hataki hela, ananivumilia; Bullshit; Hakuna mwanamke anavumilia mtu asiye na hela, anakula timing tu aende.
Shukrani kwa ushauri mzuri,yupo dada yake mmoja tunaelewana vizuri ila nasita kumcheki naona atakuwa ni miongoni mwao na namba za mama yake nazo ninazo ila naona kama haina haja ya kuwapigia.Sometimes ili kumjua mtu unae muoa. Kuwa karibu na dada zake na ndugu zake kwa ujumla. Ukiwa nao karibu, kuna uwezekano wa wao kukupa story au kukupa vihabar kuhusu huyo mwenzio.
How do i know? Because mwenzio anaweza kukuficha. Akaongea na ndugu zake, haswa wale anao waamini.
Otherwise analyse why imekuwa hivyo. Na pia ongea na dada zake kama utakuwa interested kumbadili mawazo.
But until then pole mkuu. Huu ni wakati wa kujiweka vizuri. Be the man ambae ulitaka uwe.
A woman for you atakuja one way or another. Usipanick, and dont beg
Is why nikakwambia all contact them kama uko interested ku rescue hayo mahusiano.Shukrani kwa ushauri mzuri,yupo dada yake mmoja tunaelewana vizuri ila nasita kumcheki naona atakuwa ni miongoni mwao na namba za mama yake nazo ninazo ila naona kama haina haja ya kuwapigia.
Nakuelewa vizuri sana kaka.Huwezi sema una mchumba kwa hv vida vyenue umri kuanzia 18-27,hao bado hawajajua dunia n Nini na kiukweli watakusumbua Sana maana bado akili ndogo, other wise labda ukipata wa hivyo ukitundike mimba haraka kama kweli unataka kuoa na Hilo kwa dunia ya saaa ni ngumu coz kuchomoa mimba kwao n dk 0
Ukitaka ambaye hata kusumbua n kuanzia 28-35 hapo huta pata mawazo kwasababu tayari huyo Kesha pitia mengi na pia Kesha umizwa anajua uchungu wa mapenzi na hapo yupo tayari kuolewa ktk mazingira yeyote,
Nimi niliwahi kuwa na kamoja ka hivyo kalinisumbua Sana, unakuta kana account 4 za fb, majina tofauti et sijui princes nani, sijui Diana.., hovyo sana, namba za cm anazo 4,nasafiri nae nakumbuka siku moja tupo ubungo Kumbe kwenye basi kamuona class mate wake akamkomyeza wakashuka nyuma ya basi naangalia naona wamekumbatiana ana mu hug,last time nikakuta kanaliwa na mume wa mtu.
Nikama mtu kunidanganya et una mchumba yupo chuo, aisee my friend kuwa makini
Okay ngoja niendelee kujishauri kwanza,sababu mimi mwenyewe sitaki kuonekana fala hivi.Is why nikakwambia all contact them kama uko interested ku rescue hayo mahusiano.
Otherwise chill down achana nao.
Endelea nanmaisha yako
Kweli kaka acha nijiandae.Jiandae kurudi shule bado siku 12
Achana na huyo mdau na achana na huyo demu. Kuna wimbo wa Chege unaitwa WAACHE WAOANE nakuomba uwaache waoaneMimi nimekubali matokeo lakini namuona binti kama anataka tuendelee na kuwasiliana nikamwambia huo ujinga siufanyi aheshimu mawazo yake.
Ila katika kuwaza na kuwazua na kuunganisha nukta nikapa wazo au nimchane mdau nini ?!
Mkuu ukitajiwa Madada au Wazazi jua fika wametajwa tu kama kisingizio ili kubalance lawama..Huyo dem na dada zake wote hawana akili.