Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Wadau yamenikuta, hawa Wanawake hawa…

Mwamba dem wangu aliunganishiwa jamaa akaanza tabia kama hizo. Nikambana akanichana na jamaa alikuja kwa gear ya ndoa fasta. Nikamsaundisha ikishindikana, miez 2 mbele akaolewa. Mwamba nikapiga moyo konde sio cmpo lakini. Miez 6 mbele ndoa chungu na ana mimba.

Demu kanitafuta avunje ndoa yake, nikamwambia pambana. Sasa katoroka na kila siku haishi kanitafuta. Ningekua mhuni ningekua kama nimeoa mimi.
Huyo demu ukimmganda atakusumbua na jamaa atakua anamla. Ila mpaka hapo amini huyo jamaa anaoa, wew subiri akazinguliwe utakuja kuliliwa baadae with regrets.

Wanawake wanaamua mambo kwa hisia na sio logic,na huyo tayari kashatekwa hisia na ndio maana kakuanzia drama. I feel hali unayopitia lakini amini huyo sio wako tena lakini jiandae kumpokea baada ya muda flani baada ya mambo kuharikbika huko.Hapo huna mtu na hatarudi nyuma!
Hili ndilo nililo liona yaani watoto wa kike akilo zao ndogo sana.

Na mimi nimemwambia kwamba aheshimu maamuzi yake,ila anataka tuwe tunawasiliana.
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.
Huyo ni demu wako wewe uwepo wa wapambe wameangalia ulaji na yeye kashawishiwa kakubali wamepa vigezo mafunzo kweli umezidiwa ila unapendwa wewe, na yule kaingia na ndoa wakati wewe mlapapua guinea, endelee kumla kimazabe na hata akiolewa wewe utamla zaidi na zaidi sitaki maswali najua maana yangu
 
Mimi nimekubali matokeo aisee dogo amenibadilikia balaa.
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.
USIJARIBU KUMSHIKILIA MWANAMKE, IKIWA SABABU YA UHUSIANO WENU KUYUMBA NI YEYE MWANAMKE KUPENZIKA NA MTU MWINGINE.

SO MUACHE AENDE.... IKIWA JAMAA NDIO MTU SAHIHI, BASI MWANAMKE KAFANYA LA MAANA.

IKIWA JAMAA SIO MTU SAHIHI ,BASI MWANAMKE ATAKULA SAWA NA UJINGA WAKE.

nmeyasema hayo, kwa sababu weee sio kwamba ulikua umeshamtambulisha, weee ulikua unajipigia tuu, na pengine kwenye KUOA ,ungeoa mwingine.

Alafu unakuja nauzi "Nilikua ndio nataka kumuoa".....lkn moyoni haiko ivo.
 
Achana na huyo demu hana msimamo atakusumbua
 
Aisee mpaka kwao wananijua yaani ndiyo nilikuwa najipanga kwenda rasmi.
 
Habari ya usiku huu.

Kijana mwenzenu yamenikuta aisee. Ngoja niingie kwenye mada moja kwa moja.

Kuna binti nilikuwa nae na nilipanga kumuoa,lakini masiku ya hivi karibuni nimeona amebadilika hayuko kama zamani (hapa najua wakubwa wenzangu mmenielewa kwamba kitu kidogo anakasirika na kukuza mambo,nikajua hapa natafutiwa sababu ya kuachwa,machale yakanicheza mapema). Sababu binti namjua vilivyo,nikambana sana akaamua kufunguka hiyo ilikuwa juzi. Akasema ni kweli kuna mtu ameunganishiwa na ndugu zake yaani dada zake na wameanza kuwasiliana na kwa mujibu wake huyo muhusika hakumwambia kama ana mtu na binti amekubali kuolewa na huyo mtu.

Lakini katika kuunganisha doti nahisi huyo muhusika(yaani muoaji) nina mfahamu kabisa. Sasa nimekaa hapa najiuliza je nipotezee nikubali matokeo au nimfate mdau nimwambie ukweli ?

Ushauri wenu tafadhali.
Aisee.
Sisi wanaume tuna nafasi kubwa zaidi ya kuwaoa wale tunaowataka kuliko wanawake. i.e sisi tuna Choices nyingi kuliko wao.

Kuwa mjanja mwache aende, we mute tu aolewe! Unaumia kwa muda mchache then unakaa sawa.

Halafu unaacha nature ifanye kazi yake.
Unampa miezi tu!!
 
Kwamba huyo binti baada ya kumbana sana nilivyo hisi mabadiliko,akaniambia kwamba ndugu zake wamemtafutia mtu wa kumuoa,na mimi hanitaki tena.

Nikamwambia sawa ila katika kuunganisha matukio nahisi huyo muhusika namjua sasa wazo likaniijia kwamba nimchane mdau au nikaushe tu...?
Ukimruhusu anakuja kulipa kisasi atakuacha wewe maumivu yote utayabeba
 
Back
Top Bottom