PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Nani aliwaambia mhaini ana mdhamana?
 
Ila ccm sasa imekuwa maharamia
 
Madhara ya kuwaamini akina KE kwenye nafasi kubwa ndio haya, hata wakisikia unakohoa wanasema unawasema ..yaani wasisikie kishindo nje wanasema mwizi huyo anakuja😋
Nchi kwanza
 
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Uasi unadhibitishwa mahakamani si kwa maneno ya vijiweni.
Huyo mwenyekiti si mara ya kwanza kwenda nje, anamuwakilisha mwenyekiti ambae ndio amekua akihudhuria vilao vya idu.

Tatizo ni nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…