Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 21,572
- 15,610
Nendeni mkakinukishe. Si mmpo wengi nchi hii!Dah uonevu tu
Nendeni mkakinukishe. Si mmpo wengi nchi hii!Dah uonevu tu
Wanafanya kwa makusudi, jeshi la polisi linawabagua CDM.Jeshi limeoza ila kanda ya dar ni hakufai kabisa. Vilaza wote wa utekelezaji wa maagizo kutoka juu wapo huko.
CCM hii nchi hata sisi ni yetuChama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesema Wadhamini wanne waliofika kituo cha Polisi Kati Jijini Dar es salaam kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituo hapo.
CHADEMA imesema Wadhamini Waliokamatwa ni Ntele Benjamin ambaye ni Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani, Ernest Mgawe, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba, Jerome Olomi , Katibu Mkoa wa Kichama wa Ilala na Mwanachama mwingine ambaye jina lake halijatajwa.
Mkuu kwahiyo na wewe unafurahia watu walikwenda kumwekea dhamana mtu kuwekwa ndani? Au kisa ni wanachama wa CHADEMA? au Raia yeyote akifanyiwa hivyo kila mtu aone ni jambo la kawaida?Safi..
Makosa gani?vurugu mechi,
Hata wadhamini na wenyewe wanamakosa!!
NONSENSE!Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini