PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ununue mabomu na silaha uyapitishe airport!

Mara ya mwisho umepita airport gani ya kimataifa pengine tukawa tunajadiliana na watu humu usikute hata usafiri wa ndege hawajawahi kutumia.

Na watu wa jinsi yako ndio mnaonekana washauri nguli huko ccm!

Kichekesho kweli.
Kuna sehemu imeandikwa mabomu yanapita airport?
 
Uasi unadhibitishwa mahakamani si kwa maneno ya vijiweni.
Huyo mwenyekiti si mara ya kwanza kwenda nje, anamuwakilisha mwenyekiti ambae ndio amekua akihudhuria vilao vya idu.

Tatizo ni nini?
Naona kuna uhalifu safari hii ndio maana amekwama kwenda mkutanoni
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.

Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa ni wafuatao:
  1. Ntele Benjamin – Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani
  2. Ernest Mgawe – Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba
  3. Jerome Olomi – Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Ilala
  4. Mwanachama mwingine ambaye jina lake halikutajwa mara moja
Kwa mujibu wa CHADEMA, tukio hilo limetokea wakati wa juhudi za kumdhamini Golugwa, ambaye alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa. Hadi sasa haijafahamika sababu rasmi ya kukamatwa kwa viongozi hao.View attachment 3332816
bilashaka yoyote ile ,
hao wangwana walikusudia kuleta fujo polisi.
wana historia za vurugu sana hao :pulpTRAVOLTA:
 
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Tuwe macho sana na Hawa watu
 
Siku za mwisho za utawala uliofitinika, mambo kama haya ni lazima yatokee.
 
Back
Top Bottom