PreGE2025 Wadhamini waliofika Polisi kumdhamini Golugwa wakamatwa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
OVYO KBS HUNA AKILI WW
 
Maza ni katili haswa
'Mother' ni adjective ama noun inayom'express' mzazi ama mwanamke wa heshima sana anayewakilisha hadhi ya mzazi ama mwanamke mwenye upendo usiotiliwa mashaka.

Tukija kwa huyu Rais wa Katiba, hana hadhi ya kuitwa mama kutokana na matendo ya mauaji ya uonevu yanayotekelezwa na watendaji wa Serikali kwa maagizo yake.

Kwa hiyo mkuu, mwanamke yeyote mhalifu kuendelea kumuita 'mama', ni kuitukanisha hadhi ya wazazi na wanawake waadilifu.
 
Utashangaa hao policcm watakuja na utoto wao mwingine wa kusema hao watu walitaka kuhatarisha usalama! Yaani wana mambo ya kitoto mpaka basi.
 
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Acha uhuni huo mnaogopa nini kwani siasa ni uhasama?mshindane kwa hoja.mara nyingi udikteta haifiki mbali.itafikia mahali wananchi watachoka.pambqneni kwa hoja si kwa mabavu.hii inayoonyesha kuna kitu kinafichwa hivyo chama tawala kinaogopa kusumbuliwa but time will tell.
 
Mwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Ununue mabomu na silaha uyapitishe airport!

Mara ya mwisho umepita airport gani ya kimataifa pengine tukawa tunajadiliana na watu humu usikute hata usafiri wa ndege hawajawahi kutumia.

Na watu wa jinsi yako ndio mnaonekana washauri nguli huko ccm!

Kichekesho kweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…