Kuna sehemu imeandikwa mabomu yanapita airport?Ununue mabomu na silaha uyapitishe airport!
Mara ya mwisho umepita airport gani ya kimataifa pengine tukawa tunajadiliana na watu humu usikute hata usafiri wa ndege hawajawahi kutumia.
Na watu wa jinsi yako ndio mnaonekana washauri nguli huko ccm!
Kichekesho kweli.
Rudia kusoma ulichoandika.Kuna sehemu imeandikwa mabomu yanapita airport?
Kichwa chako unatumia kutafunia kande tu?Rudia kusoma ulichoandika.
Hiyo ID inaendeshwa na watu wangapi?
Hujajibu swali maswali yangu bado.Kichwa chako unatumia kutafunia kande tu?
Naona kuna uhalifu safari hii ndio maana amekwama kwenda mkutanoniUasi unadhibitishwa mahakamani si kwa maneno ya vijiweni.
Huyo mwenyekiti si mara ya kwanza kwenda nje, anamuwakilisha mwenyekiti ambae ndio amekua akihudhuria vilao vya idu.
Tatizo ni nini?
Uhalifu kusafiri nje? Mara zote huwa anasafiri walikuwa wapi?Naona kuna uhalifu safari hii ndio maana amekwama kwenda mkutanoni
Mimi naitwa chiembe, sio mbwaM.bwa ww kaaa kimya Selfish man
bilashaka yoyote ile ,Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimedai kuwa wadhamini waliokwenda katika Kituo Kikuu cha Polisi jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumdhamini Naibu Katibu Mkuu Bara, Amani Golugwa, wamekamatwa na Jeshi la Polisi wakiwa kituoni hapo.
Taarifa ya chama hicho imeeleza kuwa waliokamatwa ni wafuatao:
Kwa mujibu wa CHADEMA, tukio hilo limetokea wakati wa juhudi za kumdhamini Golugwa, ambaye alikamatwa na Jeshi la Polisi kwa. Hadi sasa haijafahamika sababu rasmi ya kukamatwa kwa viongozi hao.View attachment 3332816
- Ntele Benjamin – Katibu wa CHADEMA Kanda ya Pwani
- Ernest Mgawe – Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Kibamba
- Jerome Olomi – Katibu wa CHADEMA Mkoa wa Ilala
- Mwanachama mwingine ambaye jina lake halikutajwa mara moja
Au kin****?Mimi naitwa chiembe, sio mbwa
Tuwe macho sana na Hawa watuMwenyekiti wake muasi, huwezi kujua Golugwa alikuwa ametumwa kwa mission ipi ya kutimiza ajenda ya uasi, labda hata kununua silaha au mabomu. Hata mimi nisingeenda kumdhamini
Nchi kwanzaChadema wamezidi upole, maandamano ya gafla ndio suluhisho