Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Yes upo sahihi mkuu, lakini wengi wanahifadhi kwenye hizo virtual drives kama Google, Facebook na Instagram.Ila hata siku hizi zipo albums but zipo vizuri zaidi,ni picha zinapigwa halafu inakuwa kama kitabu iliyochapishwa
Maisha ya siku hizi yamerahisishwa sana mkuuAmpate wapi mpiga picha wakati tablet mama yake anayo palepale?
INAPENDEZA CHIEFUmenikumbusha jambo la muhimu sana mkuu. Ngoja na mimi nikusanye picha zangu zoooote za utotoni niziweke pahala pamoja.
Albums za zamani zilikuwa ni rahisi sana kwa mgeni kuchomoa picha na kuondoka nayoIla hata siku hizi zipo albums but zipo vizuri zaidi,ni picha zinapigwa halafu inakuwa kama kitabu iliyochapishwa ,ikishachapishwa huwezi kuweka picha zingine hadi kitabu kingine
Labda rafiki zake walikuwa wanampa.huwaga najiuliza mzee alikua anaitoa wapi maana ilikua ni current sana kipindi hicho
Josee sikujua kabisa kuwa na wewe ni muhenga!Watoto wa siku hizi hawajui that struggle ya kumpata mpiga picha
Aisee hadi leo nna album yangu ya picha za utotoni nimeihifadhi kwa kumbukumbu
Aaah jamaa uzi wake kanikumbusha mbali mnoJosee sikujua kabisa kuwa na wewe ni muhenga!
Mkuu Infantry Soldier ametukumbusha mbali sana lakini kuna kitu cha kujifunza katika huu uzi. Tusiweke kumbukumbu zetu kwenye soft copy tu,tukumbuke na kuweka kwa hard copy muhimu sana.
Enzi hizo simu ni zile landline za kuzungusha kwa kidole kimoja.huwaga najiuliza mzee alikua anaitoa wapi maana ilikua ni current sana kipindi hicho, sina uhakika kama kulikua na cm za mkononi enzi hizo
Kipindi hcho tv ni za antena, ITV ndo ilikua habar ya mjini, yaani mnaangalia tv ina chenga kibao, saiv kuna hd etiLabda rafiki zake walikuwa wanampa...
Daaah wee acha tu rafiki yangu. Unapiga picha huku umeweka dole na nguo nzuri za sikukuuNimemiss nega za picha
Nimemiss kombolela na kidali poo.
Kujipikilisha michanga
Kuiba mchele kwa mpemba
Kujipikilisha kwenye vikopo vile vya bati (vya tomato sauce)
Ukipiga picha leo waipata baada ya siku 5 hadi weekπππ
Maisha ya zamani yalikuwa ya Raha sana
Zamani sana hii mkuuWoow..hii safi sana,niyakumbukayo;
1. Ndala za "Skyway"
2.Raba za "DH"
3.Suruali za "Tokyo & Beauct"
4.Mafuta ya kujipaka "Rays"
5.Tanbond sio blue band
6.Soda ya double cola na fahari.
7.Negro arushaa aliitwa " Masawee"
8.Peugeot 403 & 404[emoji3]
Mpaka IST na RAUM?Nacho jua mimi madebe ni magari yote yanayouzwa chini ya Tshs milion 50, uongo Jamani
Natania
NdioMpaka IST na RAUM?
Watoto wa siku hizi hawajui that struggle ya kumpata mpiga picha
Walitusumbua sana enzi hizo, nilikuwa nikichukua Negative ile na kuiangalia kwenye jua nacheka sanaNa hata baada ya kumpata, kulikuwa na strughle nyingine ya kusubiri picha zisafishwe, maana ni lazima mkanda wa 'negativu' ujae...
Ukiachana na haya ya album, hivi hawa watoto waliozaliwa juzi juzi wanajua kwamba hawa tunaowaita Wapiga debe jina lilitokana na kitu flani cha pembe nne kinachioitwa debe? Waliwahi kuliona debe? Siku hizi yapo wapi madebe wahenga?