Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,111
- 53,092
Hatuna madogo mkuu πNdio hapo sasa ushangae. Na huyu mtu kumbuka unampa allowance licha ya kuwa yuko field ππ.
Yan madogo KUSOMA HAWAJUI MPAKA PICHA NAYO HAWAONI
Hiv yeye na mimi nani ana mambo mengi.Kuwa boss pia inapaswa kutambua na kujali muda wa mtu kwenye mambo yake binafsi
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kusema tuu ofisini kwangu sio kigezo cha mtu kujua umejiajiri au umeajiriwa.Sijaajiriwa braza.
Kijana hata kusoma uzi tu ukaelewa napo ni shida mkuu??
NB
ajira sio kitu kibaya
Hajakomaa akiliHiv yeye na mimi nani ana mambo mengi.
Kuacha kaz zangu kuanza kujadili za kwake zisizohusiana na ofisi yangu bali kwa manufaa yake hiyo ni kitu ya kufundishwa il ujue nani yuko kwenye advantage side hapo?..
HUwez ajir mtu bila kujua background yake. Na hii sio lazima usome tu cv, vetting conversation tu inatosha kuyajua haya.Sikubaliani na wewe
Utampa mtu kazi
Labda hizo ajira unazitoa sio proffesional, yani zinaweza kufanywa na mtu yeyote.
Chukulia mfano unamuajiri accountant bila kujua qualifications zake na expirience.
Unaanza kupima performance yake baada ya kumpa ajira??
Sasa kama hayuko qualified utamfukuza?
Kweli kabisa Mtibeli. Hii point yako tulikuwa tunajadili juzi na binamu yangu.
Okay..iko hivyo basi. Sikutaka kuli bold hil kwakua sio lengo la uzi. Maana licha ya kujiajir bado mimi pia ni muajiriwa wa wateja wangu, imagine Discipline ya dogo mbele ya mkuu wake kazin iko hiv, haya huko kwa wateja what can you expect?Kusema tuu ofisini kwangu sio kigezo cha mtu kujua umejiajiri au umeajiriwa.
Nb.
Nakubali ajira sio kitu kibaya.
Broo mleta mada nimemuuliza swali uko juu. Saa 11 jioni ya jumamosi ni muda wa kazi? kama sio hauoni kwamba ni yeye ndie alikosea kupanga muda wa kujadili masuala ya kiofisi. Naona dizaini kama amepaniki. Mabroo wanapenda kuonekana mungumtu.Sio kila mtu alizaliwa kwenye shida kwamba usipomsaidia atafeli maisha. Kuna boss mmoja nilienda field, akaja binti mwingine kufanya field akapangiwa kazi ambayo hapendi na hajasomea ila anaweza ifanya. Akaomba abadilishiwe kitengo na yule boss akachukia eti binti kadharau field wakati kuna watu wanaitaka.
Kumbe binti kaja kufanya kazi fulani kupata uzoefu sababu baba yake anafanya kazi kama ile. Alipoona atapotezewa muda akaenda kufanya field ofisi ya baba yake. Kuwa boss sio lazima usikilizwe kila muda na ujifanye mungu mtu na kupenda machawa. Likewise anaweza kuja kijana ukamletea umungu mtu akaondoka kufanya mambo yake na akakuzidi ukabaki na sonona.
Huu uzi una watumwa kwelikweli. Eti boss akikuongelesha hutakiwi kuondoka, na akikutongoza hutakiwi kukataa si ndio?
Exactly. So hayo tuliokuwa tunajadili sio sehem ya kazi na hayakupaswa ku compromise time table. Halaf kitu kingine vijana you really have to learn to GO EXTRA MILE when you are assigned..
HIv siku ile ya mechi ilikua weekend kwa akili zako?? It was a week day!. Do simple searchBroo mleta mada nimemuuliza swali uko juu. Saa 11 jioni ya jumamosi ni muda wa kazi? kama sio hauoni kwamba ni yeye ndie alikosea kupanga muda wa kujadili masuala ya kiofisi. Naona dizaini kama amepaniki. Mabroo wanapenda kuonekana mungumtu.
Huu ndio usomi sasa. Lakin pia ndio uungwana wenyeweKwenye kudharau kikao ndo amekosea sana angempa udhuru mapema kuwa ataenda kutazama mpira
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Mambo kama hayo huwezi yapata shule labda uwe umezungukwa na watu wenye uzoefu na weledi wa kazi inakuwa rahisi kujiongeza.Exactly. So hayo tuliokuwa tunajadili sio sehem ya kazi na hayakupaswa ku compromise time table. Halaf kitu kingine vijana you really have to learn to GO EXTRA MILE when you are assigned..
Sio et kisa kutoka ofisin ni saa 11 bas na wewe kwel 11 shap ushachomoka [emoji23][emoji23][emoji23].
Jifunzen japo hata kuzuga zuga muda mwingine...
Ofisn saa 2 ila kila ukiingia kabla ya saa 2 unakuta boss kafika kitamboo...then unapondoka daily unamwacha ofisn.. HIV huwa mnashindwa hata kujifikiria kidogo [emoji23][emoji23][emoji23].
Sie wenzenu tulifunzwa manners hiz ndogo ndogo na zimetusaidia sanaa.
Hao watu wenyewe sasa ndio unawaletea itikadi za kupenda soccer kuliko kaziMambo kama hayo huwezi yapata shule labda uwe umezungukwa na watu wenye uzoefu na weledi wa kazi inakuwa rahisi kujiongeza.
Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
Kuna muda mambo ya ujana unayaficha kwa kulinda brand yakoHao watu wenyewe sasa ndio unawaletea itikadi za kupenda soccer kuliko kazi
Hakuna sehemu niliyolalamika. Unaweza kulalamika kwa mtu kukataa kuchukua mzigo kwa mali kauli? Kwa kifupi dogo ninamfahamu yeye hadi familia yake kwahiyo ilikuwa ni kama vile kaka kumsaidia mdogo wake na sio kwamba nilihitaji sana kufanya nae biashara. Nimetoa hicho kisa changu kuonyesha madogo hawajielewiUnamlalamikia kwa sababu hajataka kufanya biashara na wewe?
Hawat kuambiwa ukwel na kuukubali huu uhalisiaVijana waelewe tu hata bibi na yeye alikuwa kama dada.. ukija kushtuka miaka 40 hii hapa unaanza kujifariji na msemo "Life starts at 40"... miaka ya mwanzoni ni muhimu sana kuwa mnyenyekevu ili ujifunze. Ukifanya vizuri in your 20s basi kwenye 30s utakuwa unaombwa ukafanye kazi na sio wewe kuomba kazi. Ukiwa kwenye 20s fanya kazi zote na uwe na utiifu wa kiwango cha juu. Hawa wazee bado ndo wenye maamuzi ya mwisho kwenye mambo mengi hapa nchini tusiwachukulie poa.
Na tatizo mnachanganya sana kati ya kuwa mnyenyekevu na kuwa mtumwa.Sipendi kunyenyekea mtu, utumwa na unafiki ukiniletea dharau utakuwa unatafuta makofi.
Usipokuwa mnyenyekevu kwenye kazi za watu basi lazima uwe mtumwa kwenye kazi za watu.Na tatizo mnachanganya sana kati ya kuwa mnyenyekevu na kuwa mtumwa.
Madogo hawana adabu ila wanafikiri wana confidence ya kutopenda kuonewa