Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
- Thread starter
- #81
Ahahahah katumia ustaarab mkubwa sana kututusi kwamba wanaume ni wezi au wajasiriamal kwenye mali za wengine[emoji23][emoji23][emoji23] sikumuelewa huyu jamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahahah katumia ustaarab mkubwa sana kututusi kwamba wanaume ni wezi au wajasiriamal kwenye mali za wengine[emoji23][emoji23][emoji23] sikumuelewa huyu jamaa
Afidiwe muda wake au sio? Masikin jeuri tuna tab sana.Bora utumie huo muda kwenye burudani ya soka badala ya ku establish connection?.Muda ni Mali km unaweza fidia muda wake mwambie
Mkuu nikuulize kitu una CV? Km unayo kuna kipengele cha 'Hobbies & Interest' ulikijaza au hua unakiacha empty?Afidiwe muda wake au sio? Masikin jeuri tuna tab sana.Bora utumie huo muda kwenye burudani ya soka badala ya ku establish connection?.
Haya sawa..kila mtu yuko huru na muda wake.
NImeshawah kuandika CV na kui update si zaid ya mara 3 toka nimalize chuo 2013. I dont mind about CVs..Nikikuomba CV ni katika formalities tu ila sinaga muda na CV za watu..wala ya kwangu mwenyewe.Mkuu nikuulize kitu una CV? Km unayo kuna kipengele cha 'Hobbies & Interest' ulikijaza au hua unakiacha empty?
Nipe jibu alafu nikupe ufafanuzi kwa upana zaidi maana naona hatuelewani,
Just imagine boss anatoa jibu la hivi umesema CV ni nini? Alafu kuna watu umewaajiri bila ya kuona CV zao?NB.
CV ni ujinga ujinga tu ambao una maana huku kwetu africa.
I have them..i just dont care about them. They are not really helping when it comes to perfomance.Just imagine boss anatoa jibu la hivi umesema CV ni nini? Alafu kuna watu umewaajiri bila ya kuona CV zao?
Imba Amapiano au Singeli mdomo si unaoAjira hakuna (ajira ni chache) ila kazi zipo.
First question: show us your CV & academic certificates, where is your CV?I have them..i just dont care about them. They are not really helping when it comes to perfomance.
Ukikua ndio utajua. Kwasasa mimi na wewe tumekaa opposite sides on a table. We cant think alike
What for mzee 😂Imba Amapiano au Singeli mdomo si unao
First question: show us your CV & academic certificates, where is your CV?
Wenye akili watakuelewa vizur.Vijana wa Sasa wengi ni wapumbavu hizi social media zimewaharibu. Wako na exposure ya starehe kuliko kujituma. Hawajipendi kuliko wanavyopenda kuonekana.
Ajira hakuna (ajira ni chache) ila kazi zipo.
#Ukiwa na povu tafuta nguo ufue.
To show your qualifications, are you qualified?What for mzee 😂
Sio kila mtu alizaliwa kwenye shida kwamba usipomsaidia atafeli maisha. Kuna boss mmoja nilienda field, akaja binti mwingine kufanya field akapangiwa kazi ambayo hapendi na hajasomea ila anaweza ifanya. Akaomba abadilishiwe kitengo na yule boss akachukia eti binti kadharau field wakati kuna watu wanaitaka.Kupata hata sehemu ya kujitolea graduate ni mziki mnene, Hiyo nazungumzia kujitolea buree, huyo dogo atajuta ngoja mtaa umpitishe kwenye tanuru la moto, unamkatisha bosi wako aliyekuita kwa mazungumzo, ?? Mi huwa nawaambia on the spot nakuchana haswaa.
Hatuwezi kufanya kazi moja mkuu, kama wewe umeweza kuimba inatosha. Mimi Kuna eagle nimeshikilia ambayo wewe haupo pia.[emoji1317]To show your qualifications, are you qualified?
Sawa Tembele...Hatuwezi kufanya kazi moja mkuu, kama wewe umeweza kuimba inatosha. Mimi Kuna eagle nimeshikilia ambayo wewe haupo pia.[emoji1317]
Hewala si utumwa.Sio kila mtu alizaliwa kwenye shida kwamba usipomsaidia atafeli maisha. Kuna boss mmoja nilienda field, akaja binti mwingine kufanya field akapangiwa kazi ambayo hapendi na hajasomea ila anaweza ifanya. Akaomba abadilishiwe kitengo na yule boss akachukia eti binti kadharau field wakati kuna watu wanaitaka.
Kumbe binti kaja kufanya kazi fulani kupata uzoefu sababu baba yake anafanya kazi kama ile. Alipoona atapotezewa muda akaenda kufanya field ofisi ya baba yake. Kuwa boss sio lazima usikilizwe kila muda na ujifanye mungu mtu na kupenda machawa. Likewise anaweza kuja kijana ukamletea umungu mtu akaondoka kufanya mambo yake na akakuzidi ukabaki na sonona.
Huu uzi una watumwa kwelikweli. Eti boss akikuongelesha hutakiwi kuondoka, na akikutongoza hutakiwi kukataa si ndio?
Wanataka harusi hawataki ndoa[emoji1787]Wenye akili watakuelewa vizur.
Huhitaji cv kupata kufanya kazi. Kitu ambacho vijana hawapendi. Wengi tunapenda ajira hatutak kazi
Huu msimamo wawe nao hawa ambao boss akiwaongelesha wako radhi walale hapohapo ofisini wasiondoke?Hewala si utumwa.
Boss hatongozi watu walio straight kwenye kazi zao.
Boss hawezi kataa kukosolewa na watu straight kwenye kazi zao.
Ukiona Boss kakutongoza au anaku attack mara kwa mara, basi tambua tatizo limeanzia kwako.
[emoji3][emoji3][emoji3]Sio kweli now days mamb yamebadilka kwanza hatutaki kufanya kazi mpaka kustaafu... kwetu ni ushamba kazi ni kwa ajir ya kupata capital tu..,.
Sasa wazeee a.k.a mabroo wa kale wamekalili inshu ya kustaafuuu yaani anakomaaa mpaka anafanan na ukutaaa Wa ofisini...
Muda wa kaz upunguzweee sio unafanya kazi kama upo darasani hapo tofuti na mwanafunz na mfanyakaz ni UPI
Pili wazee ni wakudaa sana maofisini wanatuonagaa vijana kama ni machiizi kubetiiii yaani we achaaa tuuuu alafu mixer wachawiii anakuchekeaa huku anakutupia kajini uvivuuuuuuuuuu......
Umeongea kwa hisia akili zikakusalitiHuu msimamo wawe nao hawa ambao boss akiwaongelesha wako radhi walale hapohapo ofisini wasiondoke?
Boss akiwa na mke mkorofi nyumbani aamue kujichelewesha alete story muda wa kazi umepitiliza basi mfanyakazi akae naye mpaka usiku. Mtu ashindwe kuwa na private life kisa boss atanuna. Eti ndio heshima na kunyenyekea kazi, huo ni utume au wito sio ajira.
Boss asiyejua kutofautisha muda binafsi na muda wa kazi wa mfanyakazi wake mnamuona yuko sawasawa. Kama kutofautisha muda huwezi, kuendeleza taasisi utawezaje. Muda ni rasilimali, hata nyinginezo kama fedha na watu utashindwa kutofautisha. Fedha za miradi utanywea pombe sababu huelewi, maisha binafsi na kazi unaona vyote sawa.