T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kwangu mimi mtu kuondoka saa kumi na mbili ofisini siku ya Jumamosi akiwa amemaliza kazi aende kutazama mpira wa timu yake pendwa sio tatizo.
It's likely mlikuwa mnapiga chitchatting, hayakuwa mazungumzo ya kikazi kwamba mnatafuta solution ya tatizo hapohapo. Kazi zimeisha ni Jumamosi saa 12 akaondoka kutazama mpira. Sioni kosa lake.