Wewe ndio umeharibu kabisa. Binti wa mjini afanye kazi kumzidi kijana wa mjini?
Kuna ofisi moja ya IT pale Posta ilifukuza mabinti na kubakiza mmoja walioajiriwa mwaka jana fresh from college kwa kigezo cha kuwa na balance ya gender, ofisi ilijikuta kwenye kuajiri inao wanaume wengi ikaja haribu kwenye mambo ya NGOs na renders. Wale mabinti walikuwa kazi kujisnap ofisini, kupiga video call kutambia wenzao walivyopata kazi mapema, kujitongozesha kwa maboss na kujilegeza wakidhani ndio kuweka msingi mzuri wa kutofukuzwa kazi.
Nenda hospitali uliza wagonjwa wanawake kati ya kuhudumiwa na mwanamke mwenzao au mwanaume wangependa aje nani, achana na watu ambao hawaumwi wako uraiani. Kuna hospitali kijijini wanawake walikuwa hadi wanapenda wazalishwe na wanaume kuliko jinsia yao. "Tanua mipaja hiyo hata sie wengine tumezaa"
Nenda kwa waiters, waitresses. Nenda kwa maboss. Tafuta boss wa customer service akwambie ni gender gani inalalamikiwa na wateja.
Unaweza kuwa sawa.
Ninachojua ni kuwa wanawake wengi kwenye suala la uaminifu kazini ni zaidi ya sisi wanaume.
Lakini kwenye uchapakazi mwanaume ni zaidi ya Mwanamke.
Hapo itaamua mwenyewe kusuka au kunyoa.
Kwahiyo mkuu hapo kwenye maelezo yangu ni kwamba hujaelewa kabisa?.
Tulikua tunafanya tathmini ya majukum yake baada ya kipindi chote cha field.Tathmin ambayo ndio msingi wa field evaluation report ambayo inapswa kugongwa muhuri wa ofis kisha iwe submitted chuoni!. Kwakifupi chuo kimetuamin kumfunza kijana wao kaz kwa vitendo na tunapaswa ku report back...je huon kama yalikua mazungumzo ya msingi??
Maboss au wafanyakazi wengine ukienda field wanazingua Sana, kujifanya mungu watu ndomana wanajibiwaga vibaya, wanaunyanyasaji wakati mihuri inachongwa tu nje, ndomana unakuta saingine vichwa maji wanawajibu kinguruwe tu. Au wengine wakishakuja wakaguzi wanaaga kumaliza field kumbe mazingira ya ovyo.
Unaweza kuwa sawa.
Ninachojua ni kuwa wanawake wengi kwenye suala la uaminifu kazini ni zaidi ya sisi wanaume.
Lakini kwenye uchapakazi mwanaume ni zaidi ya Mwanamke.
Hapo itaamua mwenyewe kusuka au kunyoa.
Ndio kama nilivyosema hapo suala la msingi kujadiliwa kimasikhara dogo akiangalia yupo field tu
Yaani ofisini ukiona mtu anaongea huku anafungua kabati mwingine anatazama kioo nje ujue kazi hamna tena hapo 😄
Kupata hata sehemu ya kujitolea graduate ni mziki mnene, Hiyo nazungumzia kujitolea buree, huyo dogo atajuta ngoja mtaa umpitishe kwenye tanuru la moto, unamkatisha bosi wako aliyekuita kwa mazungumzo, ?? Mi huwa nawaambia on the spot nakuchana haswaa.
Sija soma story yote ila hawa wazee ni walafi wa madaraka na wachoyo wa fadhila hawatoi michongo kabisa hasa kwa sisi vijana wa kiume dada zetu nao ilj wapewe michongo lazima wa negwe kisawa sawa ndipo wapewe michongo ya hela. Na baada ya hapo wanaenda kwenye media kutusimanga ni upuuzi tu, hii tabia inapaswa kukomeshwa mara moja. Na ukitaka kuamini haya fuatilia baadhi ya teuzi serikalini utashangaa na nafsi yako una kuta mzee alisha fanya kazi serikalini mamiaka na mamiaka ana teuliwa kuwa balozi n.k wakati kuna vijana kibao wana zurula kutafuta ajira.
Mbona hujam quote mtu mkuu, relax kuwa na amani. Naeleea hilo ndio maana juu nikaanza na angalizo kuwa sio vijana wote. But pia umeona shuhuda za watu huko juu kwamba wamekutana sana na kesi zinazofanana na hizo kwahiyo kwa upande mwingine niko sahihi nikitumia uwingi "vijana" maana ni wengi mnoo wenye changamoto hizi
Sija soma story yote ila hawa wazee ni walafi wa madaraka na wachoyo wa fadhila hawatoi michongo kabisa hasa kwa sisi vijana wa kiume dada zetu nao ilj wapewe michongo lazima wa negwe kisawa sawa ndipo wapewe michongo ya hela. Na baada ya hapo wanaenda kwenye media kutusimanga ni upuuzi tu, hii tabia inapaswa kukomeshwa mara moja. Na ukitaka kuamini haya fuatilia baadhi ya teuzi serikalini utashangaa na nafsi yako una kuta mzee alisha fanya kazi serikalini mamiaka na mamiaka ana teuliwa kuwa balozi n.k wakati kuna vijana kibao wana zurula kutafuta ajira.
Ninayezungumza hapa pia ni kijana sio kwamba ni mtu mzima sanaa kivile, hapana. Naanza kwa kusema hili; ili kuondoa ile dhana ambayo kwa sasa inalalamikiwa na vijana wengi mitandaoni kwamba "Wazee" na "Watu wazima waliofanikiwa" wanawaonea vijana kwa kuwasema sema na kuwanyanyasa kama hivi post ambazo kwasasa zimetapakaa mitandaoni [emoji116][emoji116][emoji116]
Na hata hapa jukwaani kuna kijana mmoja juzi kati kaleta hoja kwamba "Mabroo" wamekuwa wakiwasakama tu ila hawatoi michongo yoyote pindi wanapoombwa kufanya hivyo, uzi huu ulioletwa na member Natafuta Ajira [emoji116][emoji116][emoji116]
Kumekua na kasumba ya mabroo ambao washatoboa kutushambulia wadogo zao ambao bado tunajitafuta bila kuangalia kwa upana utofauti wa mazingira ambayo wao walikutana nayo na sisi tumekutana nayo Mabroo ukweli ni kwamba wengi wenu mmeingia mtaani zama za kitonga (awamu za Mkapa na Kikwete), hamjua...
www.jamiiforums.com
Lakini kiukweli, vijana kwasasa wana tatizo la kujiamini kupitiliza kiasi kwamba tafsiri rahisi na ya haraka unayoweza kupata ni kwamba "Don't care". Sijui sababu ni nini hasa maana kunaweza kuwepo na zaid ya moja, mfano;
1. Kujikinai/kujikatia tamaa
Sababu ya kuleta hoja hii ni tukio nililokutana nalo ofisini kwangu juzi siku ya mechi ya Simba na Waarabu. Iko hivi;
Kwa mwezi mzima toka September kuna kijana wa chuo alikuja kuomba kufanya field, na baada ya kum-study nikagundua kuwa ni mtu ambaye alichelewa kuanza field na mpaka wakati huo hakuwa amepata.
Sababu ni nyingi lakini moja wapo ni ishu ya kipato mambo ya nauli alikuwa amelenga kupata hapa centre ambako atapanda gari 1 tu kwenda na kurud nyumbani kuepuka ghara nyingi za usafiri na hana mkopo shuleni, hivyo hana fungu la field toka bodi.
Nilimu-asses kwa namna nilivyotaka ili kujiridhisha kisha nikaona sio mbaya akatu-join afterall uhitaji wa mtu kama wake kwetu ungetupa manufaa katika namna fulani.
Basi bwana tukafanya kazi weee mpaka juzi kati ambapo akawa amemaliza field yake na vyuo vinafungua so anaenda kumaliza masomo yake.
So hii siku ya mwisho nikawa na mazungumzo nae kwa ajil ya tathimini mbali mbali kulingana na majukumu aliyokuwa nayo ofisini ili kupata feedback, lakini pia kuangalia namna gani ya kuingiza tathimini hizo katika Logbook yake ili ikasahihishwe na supervisor wake.
Sasa hii siku ndio ilikuwa inachezwa mechi ya Simba na Mwarabu, na mida kama hii ya 11 kwenda 12 ndio tulikuwa kwenye discussion. Sasa katikati ya mazungumzo, kwanza dogo full time kuchat chat.
Hii kitu nilishawahi kumuona nayo hata katika vikao vya kawaida vya ofisi na nikampa warning na kumfunza ni namna gani anapaswa kuwa ana-behave anapokuwa katika mazingira ya kikazi haswa kwenye vikao akiwa na sie seniours wake.
Sasa siku hii aliniacha hoi huyu bwana mdogo, ghafla katikati ya maongezi akainuka na kusema "Bosi, nafikiri hayo mengine nitatafuta muda mwingine tumalizie, mimi nataka niwahi kumuona Rais wa FIFA hapo Taifa maana muda umeenda sana na mechi itaanza sitaki kuikosa, unaonaje Boss?" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Honestly, nilipigwa na butwaa sana kwa hizi guts alizonazo huyu dogo, nikamtazamaa kisha nikasema sawa haina shida, unaweza kwenda.
Alipotoka ofisini nilijikuta nacheka sana lakini hakikuwa kicheko cha furaha bali ni mshangao na huruma pia. Nikajiuliza hivi ni mimi tu ndio nilikuwa fala linapokuja suala la kazi au? Hivi huu ni ujasiri au recklesness?
I was about to let him know kwamba we would love him to join us us next year akimaliza chuo maana mapungufu yale madogo madogo ningejua namna ya kum-shape maana bado ana mindset ya kitoto kama mwanafunzi, ila kwa hiki kilichotokea nikashindwa hata kufika huko kote.
Sasa hapa vijana unawaza, unasema hivi wanataka nini tena?
Anyway ni hayo tu, na by the way sio vijana wote wako hiv!
Ni kawaida ya vijana wengi hasa hawa ambao wako chuoni kwanza hawa wazi wakishamaliza chuo nini kinafuata, wao wanajua wakimaliza chuo watapata kazi tu laiti wangejua kuna watu wamemaliza chuo miaka na miaka hatujapata kazi hata izo intern kuzipata ni changamoto wasingeleta upuuzi kwenye field zao, wengi wao kwanza field anaona kama kujichosha
Sija soma story yote ila hawa wazee ni walafi wa madaraka na wachoyo wa fadhila hawatoi michongo kabisa hasa kwa sisi vijana wa kiume dada zetu nao ilj wapewe michongo lazima wa negwe kisawa sawa ndipo wapewe michongo ya hela. Na baada ya hapo wanaenda kwenye media kutusimanga ni upuuzi tu, hii tabia inapaswa kukomeshwa mara moja. Na ukitaka kuamini haya fuatilia baadhi ya teuzi serikalini utashangaa na nafsi yako una kuta mzee alisha fanya kazi serikalini mamiaka na mamiaka ana teuliwa kuwa balozi n.k wakati kuna vijana kibao wana zurula kutafuta ajira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.