REJESHO HURU
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 5,283
- 11,558
Wadogo zetu, watofo wetu mlipo vyuo vikuu na mnaoenda chuo kikuu msione watu wanandamana mkaona hawana maana hii nchi tajiri tena tajiri jiulizeni
Kwanini zamani chuo kikuu mwanafunzi alipewa mkopo bila asilimia yani ukila boom ni ada, chakula, field, stationary unapewa watasema wanafunzi walikuwa wachache wambieni hata asilimali za nchi zilikuwa nyingi wapigaji walikuwa hawajazipiga na makusanyo ya kodi yalikuwa madogo
Alipoingia yule mzee wa msoga mapicha picha ya kaanza mkopo kwa asilimia pamoja na asilimia watumishi wa umma walioamua jiendeleza kimasomo walipewa mkopo pia waliopata mkopo kwa asilimia wengi walikosa ada tu ila pesa ya field, stationary, na meals walipewa
Leo hii madogo nambiwa mnapesa meals tu mambo ya stationary, fiedl hakuna kwanini mbona wao viongozi na watoto wao wanamiliki magari na mali za mabilion na watoto zao wanasomesha nje ya nchi
Watumishi wa umma leo hii loan hakuna , mzazi kama mwanao alisona private school loan hakuna why sasa zamani walitoa bila shida
tunajua wengi wenu kiumri ni wadogo ila tambueni hii nchi tajiri mnahaki ya kupewa loan wote meals, field na stationary bila ubaguzi nyie ni jeshi kubwa hatma ya maisha yenu yapo mikononi mwenu daini haki yenu Muda ndio huu