Huyo mtume wao huwa hata hatukanwi.. watu wakisema ukweli wa Tabia zake ndio aibu wanasema ametukanwa..Yaani kumtukana mtume, tayari vita. Kwenye Ukristo hali ni tofauti, watu wanamtukana Yesu wala Wakristo hawafanyi kitu; kunaweza kua na tafsiri nyingi BUT kwa mtazamo wangu, Wakristo wanajua Mungu wao yupo HAI, anasikia, anaona; kwa wakati wake atajibu au kuji tetea mwenyewe; hakuhitajiki kumsaidia kufanya kazi yake au kuadhibu wasio mpenda, hilo ni jukumu lake, sio la wafuasi wake.
Yesu hamumjui kuliko tunavyomjua sisi waislamu.Naye pia ukimtukana waislamu hawatakubali.Yaani kumtukana mtume, tayari vita. Kwenye Ukristo hali ni tofauti, watu wanamtukana Yesu wala Wakristo hawafanyi kitu; kunaweza kua na tafsiri nyingi BUT kwa mtazamo wangu, Wakristo wanajua Mungu wao yupo HAI, anasikia, anaona; kwa wakati wake atajibu au kuji tetea mwenyewe; hakuhitajiki kumsaidia kufanya kazi yake au kuadhibu wasio mpenda, hilo ni jukumu lake, sio la wafuasi wake.
Kwa Hiyo mudy kupaka wanja na Hina na kumnyonya ulimi na kumlamba mdomo mwanamme mwenzake Al Hassan huku akiwa uchi msikitini NI kutukuzwa?Yesu hamumjui kuliko tunavyomjua sisi waislamu.Naye pia ukimtukana waislamu hawatakubali.
Nyinyi wenyewe ndio mnaomtukana wakati sisi katika Quran na hadithi ametukuzwa sana.
Umeniweka na mimi kwenye kundi? Ninacho kisema ni hiki, "Yesu anatukanwa mara nyingi sana lakini husikii wenye Yesu wao wakipigana, this means wao wana amini Mungu wao hahitaji msaada wa kuadhibu mtu aliyemtukana, wanajua Mungu wao atafanya mwenyewe" Kumsaidia Mungu kupigana maanake huyo mungu hana nguvu, anahitaji msaada wa watuYesu hamumjui kuliko tunavyomjua sisi waislamu.Naye pia ukimtukana waislamu hawatakubali.
Nyinyi wenyewe ndio mnaomtukana wakati sisi katika Quran na hadithi ametukuzwa sana.
Nakushangaa sana kwa kuandika uongo wewe na Aljazeera yako manatoa taarifa za uongo kwa faida ya nani? Picha hii hapo chini ni ya leo inaonyesha Druze wanavyonyanyasika chini ya watawala wapya hapa wamekamatwa Nchini Syria Druze "wanakamatwa" na kudhalilishwa na utawala wa jihadi kwa sababu tu wao si Waislamu.oViongozi na wanajamii wa Druze huko kusini ya Damascus wameweka wazi kuwa wao wapo pamoja na serikali mpya Syria katika kujenga Syria mpya.
Siku chache zilizopita kulisambaa ujumbe wa sauti maeneo ya Ashrafieh Sahnaya ukihusishwa na kiongozi wa jamii ya Druze kumtukana mtume Muhammad saw.Jambo hilo lilipelekea kutokea mabishano kati ya waislamu wa madhehebu ya sunni na jamii hiyo na kupelekea mapigano.
Vikosi vya jeshi la nchi hiyo vilipeleka askari wake kutuliza ghasia ambapo wakati huo huo jeshi la Israel lilishambulia eneo hilo na kusababisha vifo vya askari 10 pamja na watu wengine 6 waliokuwa na silaha.Baada ya tukio hilo jeshi la Israel likaahidi kuendeleza mashambulio iwapo jamii ya Druze itaendelea kuonewa.
Kinyume na madai ya Israel,kiongozi wa jamii ya Druze amesema hana taarifa na rekodi hiyo na akashutumu kuwa imetengenezwa ili kuchochiea machafuko ndani ya Syria.Kiongozi huyo akazidi kusema kuwa jamii yake haitaki misaada ya kichonganishi kutoka Israel na kwamba wao wako pamoja na uongozi wa serikali mpya ya Syria.
Kamanda wa vikosi vya serikali anayehusika na usalama wa eneo hilo amesema nchi yake inalaani mashambulio ya mara kwa mara ya Israel kwa visingizio mbali mbali na kwamba usalama wa wadruze na wananchi wa Syria ni jukumu lao wanalolifanya bila upendeleo.
Syria says it rejects ‘foreign intervention’ after Israeli strikes
Nakushangaa sana kwa kuandika uongo wewe na Aljazeera yako manatoa taarifa za uongo kwa faida ya nani? Picha hii hapo chini ni ya leo inaonyesha Druze wanavyonyanyasika chini ya watawala wapya hapa wamekamatwa Nchini Syria Druze "wanakamatwa" na kudhalilishwa na utawala wa jihadi kwa sababu tu wao si Waislamu.o
Ona aibu basi kwa uongo huo nakuonyesha tena video inayoonyesha wa druze wakiuwawa na watawala wapya wa syria hii ni jana tu. Acheni kujidhalilisha kwa kusema uongo na kusingizia Israel.Picha kikawaida hazisemi zikaeleweka bila kupata ufafanuzi.
Hapo unapoona tunachukulia maneno ya watawala wapya wa Syria kwamba wanazima fujo.Hakuna mantiki yoyote kwamba wao wawadhalilishe wadruze.
Tabia zenu nyinyi mayahudi ni kuchonganisha watu tu
Kwanza nikuulize unaifahamu lugha inayozungumzwa hapo halafu jee una macho mazima ya kuangalia picha.Ona aibu basi kwa uongo huo nakuonyesha tena video inayoonyesha wa druze wakiuwawa na watawala wapya wa syria hii ni jana tu. Acheni kujidhalilisha kwa kusema uongo na kusingizia Israel.
Acha kurukaruka umesema hao ni askari wa Syria waliouwawa hapo hapo tena ukasema hao ni druze wamepewa silaha na Israel kwa hiyo wana haki kupigana nao,.Kwanza nikuulize unaifahamu lugha inayozungumzwa hapo halafu jee una macho mazima ya kuangalia picha.
Kwa sababu hapo nimeona askari wa jeshi la Syria wakiwa wamekufa na wananchi wengine. baada ya shambulio la jeshi la Israel.Maneno kwamba ni wadruze yameunganishwa mwisho.Hilo ni kawaida yenu mayahudi kufitinisha watu na kuua bila hofu
Hao waliokufa ambao wamevalia mikanda ya marisasi kama ndio wadruze baada ya kupokea misaada kutoka Israel basi utawala wa Syria wana haki ya kupigana nao kuwanyang'anya silaha ili wasiendelee kuuwa wenzao.
Akili yako ndio ina matatizo katika kuelewa ndio maana unakurupuka kutuletea video ukilazimisha tukubali unavyoona wewe.Acha kurukaruka umesema hao ni askari wa Syria waliouwawa hapo hapo tena ukasema hao ni druze wamepewa silaha na Israel kwa hiyo wana haki kupigana nao,.
Tukueleweje sasa?
Mwisho sikiliza hao askari wa Syria wanavyosema labda akili yako Itakaa sawa na kuelewa!!Akili yako ndio ina matatizo katika kuelewa ndio maana unakurupuka kutuletea video ukilazimisha tukubali unavyoona wewe.
Nimesema hao ni askari waliouliwa na jeshi la mayahudi wenzako.Mwisho nikamalizia na kama unaona hao wenye mikanda ya silaha si askari na ni wadruze basi jeshi la Syria lina haki kupigana nao.Kwa maana tangu lini wadruze wavalie kijeshi.Ina maana wamepewa silaha na Israel ili wapigane ndani ya Syria kwa ajili ya Israel.
Shida ilikuwa wapi hapo katika akili yako.
Israel kwa sasa inajidai sana kwenye matumizi ya ndege za kivita.Nchi jirani zinazopata shida na utawala huo haramu zinapaswa ziwe na mkakati mmoja wa kuwatetemshia maefu ya askari wa miguu kwani Israel kwa sasa ina jeshi dhaifu sana la ardhini na lililochoka.
View: https://x.com/manniefabian/status/1918183759377060079
Viongozi wa Syria Wanasahau kuwa waliingia Madarakani bila upinzani wowote wa Kijeshi, pia bila msaada Indirect kutoka kwa Israel, Nasrallah na Hezbollah ingewaua vibaya sana.
Syria ni failed State, kitu Cha Kwanza Rais wao anachofanya ni kuwa control Jihadist wanaomuunga mkono kabla ya Kuchukua Silaha za Watu wengine, Pia Wasyria wanashindwa kuelewa wapi kuwa nchi nyingi hapo middle east hazikupaswa kuwa nchi moja badala yake kuwa federal states
Jeshi la Israel linaweza kuifundisha China na Russia namna ya Kudeal na Magaidi.Israel kwa sasa inajidai sana kwenye matumizi ya ndege za kivita.Nchi jirani zinazopata shida na utawala huo haramu zinapaswa ziwe na mkakati mmoja wa kuwatetemshia maefu ya askari wa miguu kwani Israel kwa sasa ina jeshi dhaifu sana la ardhini na lililochoka.
Wadruze wanawatumia kama chambo tu.Huruma gani hizo dhidi ya wadruze eti kwa maslahi ya wadruze wa Israel.
Kwani waarabu waliopo Jerusalem na ukanda mzima wa ukingo wa magharibi si ni wengi kuliko wadruze na mbona wanawaua ndugu zao Gaza na huko huko ukingo wa magharibi.
Huruma za uongo uongo wakiwa na malengo mengine kabisa.
hahahaha nyie mnamjua vipi Yesu(Yashua) kwanza tu mnamuita Eissa Jina mmelitohoa kutoka kwa Wagiriki Allah alikuwa hamjui Yashua aliposikia Wagiriki wanatamka Ii̱soús wakajua ni Eesa (Esa) Allah ni Mwarabu kichaa.. Kwa hiyo Allah alimjua Yashua Jesus baada ya kusikia story kutoka kwa wagiriki hahahaha.. Naye pia ukimtukana waislamu hawatakubali.Yesu hamumjui kuliko tunavyomjua sisi waislamu.
Mngemkuwa mngemuheshimu wale punda wa Mecca msingewapa majina eti Khar-e-Isa. eti Punda wa YesuNyinyi wenyewe ndio mnaomtukana wakati sisi katika Quran na hadithi ametukuzwa sana.