Wadudu wa Arusha ni uchafu wa kijamii, sio sifa njema kwa Arusha. Ududu upigwe vita!

Wadudu wa Arusha ni uchafu wa kijamii, sio sifa njema kwa Arusha. Ududu upigwe vita!

Zanzibar kuna mashoga hivyo ngoma ni draw
Zanzibar kuna vitu vingi vibaya ikiwemo ulevi, uteja, umalaya na ushoga, lakini hakuna mzanzibar utamsikia akifurahi na kujivunia hayo, kwa kuwa ni mambo maovu na machafu yasiyokuwa na sifa njema kwa Zanzibar na mzanzibar yoyote.

Maajabu ni kuwa, Arusha inajivunia wadudu! Ududu ni ujinga na uchafu mkubwa wa kijamii. Wananchi wa Arusha ukataeni kabisa.
 
Arusha ndio kwenu acha kutumia neno zanzibar , hiko ndio kizazi cha kwenu.
Haya basi ni kweli Arusha ni kwetu lakini Zanzibar ni kwangu.
Sasa niambie wewe, nani kwao ni Zanzibar? Wazanzibar wote ni watu wa kuja, sio mpemba au muunguja.
 
Zanzibar kuna vitu vingi vibaya ikiwemo ulevi, uteja, umalaya na ushoga, lakini hakuna mzanzibar utamsikia akifurahi na kujivunia hayo, kwa kuwa ni mambo maovu na machafu yasiyokuwa na sifa njema kwa Zanzibar na mzanzibar yoyote.

Maajabu ni kuwa, Arusha inajivunia wadudu! Ududu ni ujinga na uchafu mkubwa wa kijamii. Wananchi wa Arusha ukataeni kabisa.
Mkuu Arusha inaharibiwa na CCM, haya magenge yote ya kijinga chimbuko lake ni Chama cha mapinduzi
 
Haya basi ni kweli Arusha ni kwetu lakini Zanzibar ni kwangu.
Sasa niambie wewe, nani kwao ni Zanzibar? Wazanzibar wote ni watu wa kuja, sio mpemba au muunguja.
Ssi tunakujua wewe ni mamluki umekimbia kwenu 😀 😀 😀
 
Ssi tunakujua wewe ni mamluki umekimbia kwenu 😀 😀 😀
Sasa ni nani alikwambia wewe kwenu ni Zanzibar? Wazanzibar wote tumeletwa Zanzibar, Zanzibar haina mwenyewe sheikh.
Sikushangai sana wewe kusema hayo maana wazinzibar wote sisi ni matokeo ya kizazi cha kitumwa, uzamiaji na ubaguzi. Tumekaa kubaguana, kuzamia na kutumikishana tu. Kiasili ndio tulivyo tu.
 
Unabagulia na hutaki kurudi kwenu , wewe ni mtumwa rudi kwenu uache shobo , andika jina Arusha sio zanzibar , hakuna mzanzibar ana ujinga kama wako wala hawana time ya kuzungumzia mikoa ya bara.
 
Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na uharifu mwingine mdogo mdogo wa mtaani huku wajitengenezea swaga, mikwara na miondoko fulani yakuweza kutrend mitandaoni, wakiitwa na kujiita wadudu. Ni rahisi kuwajua kutokana na mavazi ya ajabu ajabu, lugha ya ajabu ajabu na kutembea kiajabu ajabu.

Hili sio kundi jema kimaadili kwa jamii iliyostaarabika hususani katika jiji lenye mtazamo wa kimataifa na kitalii zaidi hapa Tanzania, yaani jiji la Arusha.

Ni kiwango cha juu sana cha ujinga na upumbavu kwa taifa kutafuta sifa za kujivunia kupitia wadudu wa Arusha. Watanzania hatuwezi kujivunia tabia za wadudu.

Ule ni uchafu wa kijamii na kimaadili. Arusha haihitaji 'wadudu' ili kuvuma. Arusha inahitaji sana usafi, usalama, ustaarabu, utaratibu, usomi, uungwana, uchapakazi na uwajibikaji.

Tukatae na kupinga kabisa harakati zozote za kuukuza na kuuvumisha huo mtindo wa harakati za wadudu katika jiji la Arusha.

Hivi tulishawaza haya;
1. Mtoto wako au ndugu yako awe ni sehemu ya hao wadudu.
2. Umuone dada yako au binti yako akiwa ana trend na wadudu wa Arusha.
3. Umeone shemeji yako naye ni miongoni mwa wadudu.
4. Hivi waandaji wa mikutano ya kimataifa au watalii wanaweza kutamani kuja Arusha ikiwa jiji litakuwa limetakapaa magenge ya wadudu.

Jamani, hivi tunawajua vizuri wale wadudu?
Yaani kama taifa tunaamua kuhalalisha magenge ya uhalifu, halafu tunategemea usalama utakuwepo?

#KATAAwadudu
#FUTAwadudu
#ARUSHAsafi
Naunga mkono hoja.🤝
 
Back
Top Bottom