Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Anasema anabaguliwa mbona haondoki ? kama sio unafiki!Mbona huku wazanzibar wamejazana?
Wazanzibar wamejaa kwa ndugu zao huku mikoa ya pwani .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anasema anabaguliwa mbona haondoki ? kama sio unafiki!Mbona huku wazanzibar wamejazana?
Hapa Arusha wapo wa kutoshaAnasema anabaguliwa mbona haondoki ? kama sio unafiki!
Wazanzibar wamejaa kwa ndugu zao huku mikoa ya pwani .
Namaanisha mjini magharibi, ndio mkoa katika Zanzibar wenye kubeba kitovu cha Zanzibar yote (na ndipo kiasili panaitwa Zanzibar), soko la darajani ni sehemu tu katika hilo eneo. Ni eneo dogo huenda kuliko sawa na kata ya Kivukoni ambayo imebeba maeneo ya Posta hapo Dar. Ni kama vile waarusha wanaposema mjini kati.Pale Ugunja mji upo sehemu gani au soko la darajani?
sasa unataka kila upuuzi atakao uona aufungulie uzi?Hapo ishu ni moja tuu kama huwezi control wapendwa wako kwenye mitandao basi piga marufuku wasitumie kabisa coz you can't decide for people on what to post on those sosho medias.
Halafu yaani wewe Arusha umeona ujinga wa wadudu tuu? Mbona Kuna upuuzi mwingi sana Arusha
Wanatambulika kwa asili yao , sio huyo mkimbizi anajifanya mzanzibar.Hapa Arusha wapo wa kutosha
Umenena ukweli. Makonda & co (maccm) ndio wanawatumia hao wadudu kwa manufaa ya kisasa. Tukisema mtaji mkubwa wa ccm ni ujinga wa mtanzania ieleweke. Huku chawa, huku wadudu.Arusha haijawahi kujivunia mashoga bali kwa sasa inajivunia wadudu!
Ni upumbavu mkubwa watu wenye akili timamu na upeo kama Arusha kujivunia wale vijana wa ovyo ovyo wanaoitwa wadudu.
#KATAAwadudu
#FUTAwadudu
#ARUSHAsafi
Sasa uzanzibar wangu unakuuzi nini wewe?Ujue mimi sipendi shobo sio mzenji ningesema niogope nn sasa? ukiniuliza huku zenji sipajua sasa nitajibu nn ? 😀 😀 Fuatilia wapi nimesema mimi ni mzenji .
Mamluki acha shobo , wewe ni mdudu mvaa mitumba.Sasa uzanzibar wangu unakuuzi nini wewe?
Ama uarusha wangu unakuuma nini wewe?
Mimi nimeleta mada kuhusu athari mbaya ya uwepo wa wadudu Arusha, wewe unakuja kuhoji asili yangu ya ubara au uzanzibar, ili iweje?
Hivi CHAWA ni WADUDU?Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na uharifu mwingine mdogo mdogo wa mtaani huku wajitengenezea swaga, mikwara na miondoko fulani yakuweza kutrend mitandaoni, wakiitwa na kujiita wadudu. Ni rahisi kuwajua kutokana na mavazi ya ajabu ajabu, lugha ya ajabu ajabu na kutembea kiajabu ajabu.
Hili sio kundi jema kimaadili kwa jamii iliyostaarabika hususani katika jiji lenye mtazamo wa kimataifa na kitalii zaidi hapa Tanzania, yaani jiji la Arusha.
Ni kiwango cha juu sana cha ujinga na upumbavu kwa taifa kutafuta sifa za kujivunia kupitia wadudu wa Arusha. Watanzania hatuwezi kujivunia tabia za wadudu.
Ule ni uchafu wa kijamii na kimaadili. Arusha haihitaji 'wadudu' ili kuvuma. Arusha inahitaji sana usafi, usalama, ustaarabu, utaratibu, usomi, uungwana, uchapakazi na uwajibikaji.
Tukatae na kupinga kabisa harakati zozote za kuukuza na kuuvumisha huo mtindo wa harakati za wadudu katika jiji la Arusha.
Hivi tulishawaza haya;
1. Mtoto wako au ndugu yako awe ni sehemu ya hao wadudu.
2. Umuone dada yako au binti yako akiwa ana trend na wadudu wa Arusha.
3. Umeone shemeji yako naye ni miongoni mwa wadudu.
4. Hivi waandaji wa mikutano ya kimataifa au watalii wanaweza kutamani kuja Arusha ikiwa jiji litakuwa limetakapaa magenge ya wadudu.
Jamani, hivi tunawajua vizuri wale wadudu?
Yaani kama taifa tunaamua kuhalalisha magenge ya uhalifu, halafu tunategemea usalama utakuwepo?
#KATAAwadudu
#FUTAwadudu
#ARUSHAsafi
Shida ni fulsa za ajira hakuna, unataka wapateje ugari wao?wakukabe?Kuna kundi la vijana mchanganyiko wa Arusha ambao hawana kazi rasmi, wengi miongoni mwao wakijihusisha na ulevi uliopindukia, uvutaji wa bangi, matumizi ya unga, uporaji, ukabaji, ubakaji na uharifu mwingine mdogo mdogo wa mtaani huku wajitengenezea swaga, mikwara na miondoko fulani yakuweza kutrend mitandaoni, wakiitwa na kujiita wadudu. Ni rahisi kuwajua kutokana na mavazi ya ajabu ajabu, lugha ya ajabu ajabu na kutembea kiajabu ajabu.
Hili sio kundi jema kimaadili kwa jamii iliyostaarabika hususani katika jiji lenye mtazamo wa kimataifa na kitalii zaidi hapa Tanzania, yaani jiji la Arusha.
Ni kiwango cha juu sana cha ujinga na upumbavu kwa taifa kutafuta sifa za kujivunia kupitia wadudu wa Arusha. Watanzania hatuwezi kujivunia tabia za wadudu.
Ule ni uchafu wa kijamii na kimaadili. Arusha haihitaji 'wadudu' ili kuvuma. Arusha inahitaji sana usafi, usalama, ustaarabu, utaratibu, usomi, uungwana, uchapakazi na uwajibikaji.
Tukatae na kupinga kabisa harakati zozote za kuukuza na kuuvumisha huo mtindo wa harakati za wadudu katika jiji la Arusha.
Hivi tulishawaza haya;
1. Mtoto wako au ndugu yako awe ni sehemu ya hao wadudu.
2. Umuone dada yako au binti yako akiwa ana trend na wadudu wa Arusha.
3. Umeone shemeji yako naye ni miongoni mwa wadudu.
4. Hivi waandaji wa mikutano ya kimataifa au watalii wanaweza kutamani kuja Arusha ikiwa jiji litakuwa limetakapaa magenge ya wadudu.
Jamani, hivi tunawajua vizuri wale wadudu?
Yaani kama taifa tunaamua kuhalalisha magenge ya uhalifu, halafu tunategemea usalama utakuwepo?
#KATAAwadudu
#FUTAwadudu
#ARUSHAsafi
Hapana.Hivi CHAWA ni WADUDU?
Umeandika vyema kabisa.Kuna aina mbili za wadudu
Wadudu wasanii (feki) na ndio unawaona wakiwa mara na RC mara wapo kwenye mziki. Hao sio wadudu wenyewe bali wasanii tu hao.
Alafu sasa kuna,
Wadudu Og, hawa ndio watu hatari. Kwanza hawana shobo na serikali sababu ni adui wao namba moja, why? Sababu ni wahalifu wengi wanasafirisha vitu haramu kwa piki piki. Hawa utawajuaje sasa. Kwanza ni wachache sana kwa idadi. Pili wana piki piki mpya zisizo na plate namba ila sio boda boda. Tatu ni wasafi kimavazi na wanavaa mazazi ya gharama ila kazi hutawaona wakifanya.
Alafu kuna hawa wengine
Wadudu fuata mkumbo, kwa wale waliowahi kuishi Arusha watakubaliana na mimi kuwa watu wengi wa Arusha ni fuata mkumbo na ushamba mwingi sana. Sasa hapa ndio wanaibuka walevi, wavuta bangi na wajinga wengine wanaufuata mkumbo wa wadudu bila kujua wanafuata nini.
Hawq ndio utaona msibani mara wanazika kwa mikono, mara wanapenda kuhojiwa hojiwa na hizi online Tv. Ukiona hao wewe jua huyu sio mdudu huyu ni mfuata mkumbo tu hajui anachokifanya. Machalii wengi wa Arusha wanapenda kuonekana wakorofi hata kama sio wakorofi ndio maana wanakuwa wafuata mkumbo.
Tofauti na Wadudu kuna makundi mengine ambayo ukifuata mkumbo lazima upotee au hata kufariki kabisa. Mfano ni wale wa Rally watu kama Miami Gang wale ukitoka na toyo yako uliyojifunzia uchochoroni ukasema uende Rally ndio utasikia Bodo boda 6 wamekufa kwa ajali wakienda Rally Moshi/Kisongo.
Hawa Wadudu Og sio wakufanya nao masihara hata kidogo. Lazima tujue tunapoelekea ni wapi.
Nakubaliana na mleta uzi.
Zanzibar kuna uboya na ufala wa kiwango cha lamiZanzibar kwao wamejaa mashoga haoni kama ni uchafu
Kabisa Mkuu.Umeandika vyema kabisa.
Trend ya wadudu wa Arusha imebeba na kuficha vitu vingi sana nyuma yake, na sio rahisi vyote kuvielewa au kuviweka pamoja. Mwisho sio kitu cha ku entertaining kijamii maana ni rahisi mnoo vijana wa Arusha kufuata mkumbo (mob psychology) wakati mwisho huelekea shimoni.
Wanaoponda wadudu wanashabikia chawa wakati yote ni waduduZanzibar kuna uboya na ufala wa kiwango cha lami
Ata hivyo ududu siyo sifa njema.
Ule ni utamaduni wa watu waachie hata kama huupendi hata sisi tunaona kanzu na baraghashia ni uchafu kama hupendo wadudu anza kuwakataa chawa maana wote ni waduduKutetea vitu vya kijinga ni ujinga maradufu. Wewe unaona ule uvaaji wa wadudu unakufurahisha?
Ungetamani ndugu yako, rafiki yako, mtoto wako, shemeji yako avae vile halafu mtembee wote barabarani?
Wanahangaika na mavazi ila ushoga hawaupingiZanzibar kuna mashoga hivyo ngoma ni draw