ILLUMINATI RUMI
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 323
- 327
Bodaboda asilimia kubwa Ni majitu ya ovyo Sana Kuna moja lilimgonga mama moja kwenye zebra,gari na mabasi ya mesimama lenyewe sijui kulikuwa linawahi wapi mama yule aligongwa akazimia bahati nzuri na lenyewe lilianguka hapohapo tulikamata polisi wakaja kumchukua na bodaboda lake ,sijui huko waliishia vipi,kwa ujumla bodaboda asilimia kubwa Ni watu wa ovyo Sana.