Waendesha Mashtaka wadai nyumba ya Diddy ilikutwa na Vilainishi, Silaha, Dawa za Kulevya, Mafuta ya Watoto Chupa zaidi ya 1000

Huyu ndio basi Tena...Kwisha habari yake hachomoki
 
Baada ya rapa na producer na record owner wa bad boys records kukamatwa na fbi Kwa tuhuma za biashara ya ngono, madawa ya kulevya, ubakaji, kuwalewesha wasanii wa kiume na kuwabaka, kumolest watoto.

Pdiddy amehusishwa na mapenzi ya jinsia moja na wasanii maarufu kama jarule, meek mill, mase, usher Raymond, Justine biber, burna boy, Omarion.

Tajiri huyu wa bad boy records amekuwa akitumia mbinu ya kutoa promise kukusaidia katika industry ikiwemo kuwin Grammies, ama njia ingine anatumia ni pesa, ama kukulewesha madawa ya kulevya akikualika nyumbani kwake Kwa ajili ya kupart, na njia ya blackmail.

Kutokana na yanayojiri, basi tusikilize clip ya diamond, ambaye amedai alienda nyumbani Kwa pdiddy na kukiri kufanya mambo ambayo hawezi SEMA. Sasa sijui Kuna Siri au jambo Gani ambalo diamond analificha na ambalo konde boy au alikiba akilijua anaweza kutumia katika bifu yao. Jambo hili Diamond alizungumzia miaka 3 ilyopita.


View: https://youtu.be/KgDZmneARcg?si=wGEfe6oqPMAMBQeE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…