BICHWA KOMWE -
JF-Expert Member
- Jul 21, 2022
- 6,373
- 16,073
Wabongo kwa kurukia hadithi hawajambo. Sasa hivi kila mahali ni habari za pdidy.
Wengine hata huyo P. Didy hawamjui, basi na wao wanaruka na kudandia tu treni.
Hakuna ambaye hapendi ufirauni tunajikosha tu. Sisi sote ni mafirauni.
Nani asiyependa kudinya? Nani asiyependa kupiga kalio kofi?
Huko kwenye midundiko ya kizaramo mpaka watu wanavua nguo zote wanaanza kubamizana hadharani.
Kwenye ule uzi wetu pendwa wa KIMASKHARA na ule wa FANTASY unaweza ukazimia kwa kiwango cha ufirauni kilichomo mule.
Dogo anabomoa futa halafu demu anajamba. Ni ujinga wa hali ya juu.
Tuendelee kusali sana. Yesu anashuka.
Cc: Kapeace Kalpana Lamomy Mshangazi Yohimbe bark fundi bishoo dronedrake Extrovert Mzee wa kupambania cocastic Poor Brain The Icebreaker