Tetesi: Wafadhili wa Lissu na CHADEMA wamwahidi Lissu Helkopta 3 na magari 31 mapya kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Tutamfadhili Lissie hela ya kutosha kuongoza chama akipata safu nzuri ya uongozi siyo kina wenje
 
Mimi sina isue kubwa na Lisu, my point is: LISU ANATAFUATA UENYEKITI KWA KUKIPASUA CHAMA, KUIUA CHADEMA. Angelitumia busara, "unyenyekevu", uungwana na si kashifa kwa wenzake na kuropoka ya sirini...kwa katiba yao....
Mkuu retired hatuyajui ya ndani huenda mwenyekiti anazingia sana na hashauriki na kusikiliza mtu.

Mbona wakati wa kumleta lowasa walimvumilia mwenyekiti
Kwa Nini sasa wameasi

Ikifika point of no return Huwa ni kumwaga mboga
 
Asante sana
 
Mada za kuchanganya watu akili tu hizi; na kutafuta kupoteza lengo la kazi iliyopo sasa hivi.
 
Mmh yaan watoe tu pesa hao wana yao mambo me siwaamini mabeberu hao
Shida kubwa ya Lisu ni hii...Anafadhiliwa na ma beberu ambao hawaitakii mema Tanzania kwani wameshindwa kui destabilize Kwa miaka mingi...
 
Kama ni kweli. Kuna mkono wa madon wakubwa na watu wazito ambao wapo tayari hii ccm izamishwe na watasaidia
Siku ukiipoteza CCM na maisha yakawa ndivyo sivyo, tutakaposhindwa kuirudisha tena ndiyo majuto yatakuwa maradufu...CCM haijawahi kuwa mbaya ila Kuna watu wabaya wachache wameipokonya CCM kutoka Kwa wanachama wake
 
Siku ukiipoteza CCM na maisha yakawa ndivyo sivyo, tutakaposhindwa kuirudisha tena ndiyo majuto yatakuwa maradufu...CCM haijawahi kuwa mbaya ila Kuna watu wabaya wachache wameipokonya CCM kutoka Kwa wanachama wake
Hakuna nchi iliendelea kwa ukubwa kupitia lichama la zamani. Nenda kasome historia vzr.
 
Yanaweza kuishia kwenye makaratasi ikibidi ,Tanzania haiwezi kuangukia Kwa Mabeberu Kwa njia ya vibaraka wao.
Haaaa....hivi DP WORLD, Barick, Anglo Gold Mine, Gesi Mtwara, n.k hao siyo mabeberu? Au mpaka wawe mbuzi beberu...
Unapenda sana kuwatukana CCM kisirisiri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…