Tetesi: Wafadhili wa Lissu na CHADEMA wamwahidi Lissu Helkopta 3 na magari 31 mapya kwaajili ya Uchaguzi Mkuu wa 2025.

Hii propaganda tu! Vinginevyo kama ni kweli maana yake mnawafanyia wengine kazi na sio watanzania.
 
Shida kubwa ya Lisu ni hii...Anafadhiliwa na ma beberu ambao hawaitakii mema Tanzania kwani wameshindwa kui destabilize Kwa miaka mingi...
Kwani serikali misaada huwa I naenda kuchukua wapi?

Watu mmefirisika sana ki mawazo, discrimination generates hate. Halafu ukiwa unachuki na mtu hata Unachokiandika hakieleweki
 
Reactions: Ame
Kwani serikali misaada huwa I naenda kuchukua wapi?

Watu mmefirisika sana ki mawazo, discrimination generates hate. Halafu ukiwa unachuki na mtu hata Unachokiandika hakieleweki
Nimchukie kwanini kwamfano, kama analeta faida kwangu na Kwa nchi? Ikiwa am not satisfied kwanini sasa nisieleze wasiwasi wangu?
 
Umekuwa kama Mse**** badala ya kujibu hoja unaanza kupaniki na kuandika uchoko.

Nyamaza tu hoja hujibiwa kwa hoja sio maneno ya kichoko
Naona upinde umetoka kusafishwa mtaro
 
HIyo china unayoisemea ndio kina mao ze dong waliipambania sasa sijui unaongea vitu gani. kasome tena Historia.
Kwahiyo walitengeneza chama kipya? Nadhani wewe ndiye unahitajika kwenda kuisoma hiyo historia with reference to your first response to my text, otherwise acha mihemko
 
Kwahiyo walitengeneza chama kipya? Nadhani wewe ndiye unahitajika kwenda kuisoma hiyo historia with reference to your first response to my text, otherwise acha mihemko
Chama kipya na ni mfumo mpya tu mkuu. Ndio maana watu wanaotaka katiba mpya wanaona chadema inafaa sasa
 
Chama kipya na ni mfumo mpya tu mkuu. Ndio maana watu wanaotaka katiba mpya wanaona chadema inafaa sasa
Kwanini uwasemee watu kwani wewe ni watu wote?

Punguza mihemko, kupenda kwako CHAGADEMA kusikupofushe akili yako
 
Hongera sana LISSU kwa Ushindi
 
Yanaweza kuishia kwenye makaratasi ikibidi ,Tanzania haiwezi kuangukia Kwa Mabeberu Kwa njia ya vibaraka wao.
Mbona kila mwaka inaangukia !! Unataka iangukie mara ngapi??
Bajeti, mikopo, misaada inaangukia kwa mabeberubunaowataja!!
Au Kuna maana nyingine bya kuanguka??🤣🤣🚴🚴
 
Mbona kila mwaka inaangukia !! Unataka iangukie mara ngapi??
Bajeti, mikopo, misaada inaangukia kwa mabeberubunaowataja!!
Au Kuna maana nyingine bya kuanguka??🤣🤣🚴🚴
Hayo uliyoyataja yanahusianaje na kuwa kibaraka?
 
mkuu, unakumbuka uliwahi kutu unakumbuka uliwahi kutupiga kamba kuwa oscar kambona kapata wafadhili anakuja na chopa tatu na magari 31? hatujasahau mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…