Habari za Chini chini zinasema wafadhili wa CHADEMA na Lissu wamemuhakikishia Lissu endapo atakuwa Mwenyekiti wa CHADEMA wao na marafiki zao watatoa helkopa tatu pamoja na gari moja katika kila mkoa ya Tanzània bara na Visiwani ili kukisaidia chama hicho kuelekea Nov 2025.
Haijafahamika Helkopta hizo zitakuwa mpya au used wakati pia utaongea.
Funzo, Huenda Wafadhili na wahisani wengi wako tayari kuisaidia CHADEMA ila hawakuwa na imani na Mbowe kwa kipindi kirefu na mbaya ni hii ya uswaiba wake na Mwenyekiti wa CCM hawaamini kama kweli kwa maridhiano yake hawezi kuwataja pia wadhamini wa Chama kwa majina yao au ya kampuni zao.
Uadilifu na Uaminifu ni muhimu sana
Happy New Year 2025.