Duh!! Hii sikufaham aisee!! Nani kapita huko?Pamoja na Mapambio ya Kuongeza Muda wa Urais kachinjwa Mchana kweupe
Mkata mauno a.k.a Kange Lugola OUT.Mwibara kukoje?
Ameshapangiwa kazi nyingine mkuu. Utameza hadi wembeYani kwa Shinyanga mjini meza imepinduliwa vibaya mno.
Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Umeongea pointAkajiajiri tu. Mbona mtaji anao wakutosha. Sie tusio na mitaji tunaambiwa tujiajiri, alafu mwenye nao mnajidai kutka kumuongezea mtaji. ACHENI UNAFKI watanzania.
Weka akiba ya maneno...!Huyu jamaa akibaki CCM nameza kisu!
Sasa Gwajima na mpwa wa Magufuli nani anaukabila wa karibu na Magufuli?Tuseme ukabila umembeba askofu Gwajima,?nauliza kwasababu hakuwa mshindi wa pili,walio mzidi kwa kura wameondolewa kwa kigezo gani?ukisema rushwa nitakukatalia kwa kuwa wapo walio kamatwa live na waliotoa rushwa waziwazi majina yao yamerudi,Sasa kwa Nini Kawe au ndio usukuma?
Nakubaliana na wewe. Kwa serikali hii yenye visasi na kwa mwanacm ambay uhalifu ni sawa na pete na kidole hana jeuri ya kuikimbia ccm.Hana jeuri hiyo nakuthibitishia kwa asilimia Mia anakesi mbaya mno tena yenye ushahidi wa kuingiziwa mamilioni ya shilingi kwenye ac yake na aliyekuwa Rais wa Acacia yule anayeozea jela...
Huyu na Masele ni dugu moja, wamepiga deal sana kule migodini, pia hawa sio 'team Jiwe' naona wameliwa vichwa kwa pamoja.Yule mbunge wa Kishapu aliyekamatwa na bunduki 16 naona CCM wamemla kichwa.
Hamna mbunge alikuwa ananikera kama yule kapuku Nkamia.Pamoja na Mapambio ya Kuongeza Muda wa Urais kachinjwa Mchana kweupe
Ninja kaliwa mdoo!!Mwibara kukoje?
Lijuakali, Mashinji nk ndiyo watakuwa frontline kwenye timu ya kampeni. Watazunguka nchi nzima kuivua nguo chadema hadharani kwani wanaijua vizuri sana. Baada ya kazi hiyo wanaweza wakapata ubalozi, ukatibu mkuu, ukurugenzi mkuu wa taasisi mbali mbali serikalini. Hawa ni silaha za maangamizi zitakzofuta kabisa chadema kwenye uso wa dunia. Yajayo yanafurahisha!Yule Lijuakali vipi?
Imekula kwake maana chama chake kimeufikia mwisjo wake mwaka huu.Atabaki asubiri vyeo vya teuzi.