Ndumbayeye
JF-Expert Member
- Jan 31, 2009
- 7,413
- 4,020
sio uwongo ila ni darasa la nne tu watakavyobisha hivoKwani nilichosema ni uongo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio uwongo ila ni darasa la nne tu watakavyobisha hivoKwani nilichosema ni uongo?
Naona Mods wameunganisha uzi kukwepa nyundo.Huyu ndiye mbunge wa CCM aliyetoa hotuba kali kuonyesha kukerwa kwa tukio la kushambuliwa Lissu. Akateuliwa kuongoza tume maalum ya bunge kuchunguza tukio lile japo matokeo yakazuiwa kutangazwa kutoka huko juu.
Huyu japo alishinda kura za wajumbe ila amekatwa na mwana fa kubeba mzigo.
Kuna kitu nyuma ya pazia.
Naamini sasa ukweli utawekwa peupeee na kivumbi kitatimka kweli kweli.
Hakuna ccm mdebwedo kama hii , mambo ya kuua na kuteka hayana nafasi tena , kwa sasa ni hoja tuNi haki yake na anafaa upinzani sababu ni critic ila hasira za hivi hazina mwisho mzuri. Siasa zina hesabu zake, hata akienda upande mwingine kwa CCM ya awamu hii atashindwa tu! Akijichanganya tu ameharibu mazima.
Km ni kweli hiyo ndiyo sababu ya kunyimwa uteuzi basi Mungu atafanya kazi yake . Daima ukweli hudumu na kamwe hauchanganyiki na uongo.Anaandika Dr. Christopher Cyrilo,
Adadi Mohammed Rajabu Meta, mkurugenzi mkuu wa upelelezi wa makosa ya jinai wa zamani, mbunge wa jimbo la Muheza aliyemaliza muda wake, pia aliyekuwa Mwenyekiti wa kamati ya bunge ya mambo ya ndani na usalama...
Hivi mnatuonaje sisi wa vunjo?Yes naungana na wewe mwaFA na Kimei hao lazima watashinda. Ila Gwaji boy na Silinde kwishney mapema
Niamini mimi mkuu kama kuna watu waliotoa rushwa Kawe basi Askofu katoa hela nyingi kuliko wagombea wote nilikuwa karibu sana kwenye huu mchakatoTuseme ukabila umembeba askofu Gwajima,?nauliza kwasababu hakuwa mshindi wa pili,walio mzidi kwa kura wameondolewa kwa kigezo gani?ukisema rushwa nitakukatalia kwa kuwa wapo walio kamatwa live na waliotoa rushwa waziwazi majina yao yamerudi,Sasa kwa Nini Kawe au ndio usukuma?
Unakumbuka kilichompa Lwenje na Kafulila? Weka hakiba ya maneno.Wanaoshinda hapo ni Kimei na mwana FA tu. Gwajima na Silinde hawashindi ata iweje na sababu ni kuwa wanagombea majimbo magumu sana yenye watu wagumu sana!!
Anapigwa asubuhi saa 2!Ameteuliwa bwashee!