Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Usianze kutaka kumtisha alipotia nia alishajiandaa kwa yote na alijua anapambana na watu wa aina gani tusianze na ramli za kuunganisha matukio tutasimama na mwana F-A -L - S- A-F -A,
BINAMU,THE DON!
 
Tuseme ukabila umembeba askofu Gwajima,?nauliza kwasababu hakuwa mshindi wa pili,walio mzidi kwa kura wameondolewa kwa kigezo gani?ukisema rushwa nitakukatalia kwa kuwa wapo walio kamatwa live na waliotoa rushwa waziwazi majina yao yamerudi,Sasa kwa Nini Kawe au ndio usukuma?
Sasa Gwajima na mpwa wa Magufuli nani anaukabila wa karibu na Magufuli?
 
Hana jeuri hiyo nakuthibitishia kwa asilimia Mia anakesi mbaya mno tena yenye ushahidi wa kuingiziwa mamilioni ya shilingi kwenye ac yake na aliyekuwa Rais wa Acacia yule anayeozea jela...
Nakubaliana na wewe. Kwa serikali hii yenye visasi na kwa mwanacm ambay uhalifu ni sawa na pete na kidole hana jeuri ya kuikimbia ccm.

Nguvu ya mamba iko kumaji.
 
Masele hatakiwi kabisa hapa Shinyanga mjini,alikuwa zaidi ya mzigo hakuna alilolifanya zaidi ya kujimwambafy kuwa yeye ni makamu wa rais wa bunge la afrika .Mwaka 2010 alibebwa kinguvu sana baada ya kushindwa vibaya na marehemu Shelembi,mkurugenzi akamtangaza kwa nguvu kitendo kilichoibua hasira kwa Wananchi hadi wakachoma jengo la manispaa ya Shinyanga.Mwaka 2015 upepo wa Magufuli huku Usukumani ulimwokoa la sivyo angeenda na maji,mwaka huu aende zake hatumtaki,umeme tu umemshinda,wananchi wananyanyaswa
 
Yule Lijuakali vipi?
Lijuakali, Mashinji nk ndiyo watakuwa frontline kwenye timu ya kampeni. Watazunguka nchi nzima kuivua nguo chadema hadharani kwani wanaijua vizuri sana. Baada ya kazi hiyo wanaweza wakapata ubalozi, ukatibu mkuu, ukurugenzi mkuu wa taasisi mbali mbali serikalini. Hawa ni silaha za maangamizi zitakzofuta kabisa chadema kwenye uso wa dunia. Yajayo yanafurahisha!
 
Masele hatakiwi kabisa hapa Shinyanga mjini,alikuwa zaidi ya mzigo hakuna alilolifanya zaidi ya kujimwambafy kuwa yeye ni makamu wa rais wa bunge la afrika .Mwaka 2010 alibebwa kinguvu sana baada ya kushindwa vibaya na marehemu Shelembi,mkurugenzi akamtangaza kwa nguvu kitendo kilichoibua hasira kwa Wananchi hadi wakachoma jengo la manispaa ya Shinyanga.Mwaka 2015 upepo wa Magufuli huku Usukumani ulimwokoa la sivyo angeenda na maji,mwaka huu aende zake hatumtaki,umeme tu umemshinda,wananchi wananyanyaswa lipo tu linajifanya makamu wa rais wa bunge la Afrika,ahame hata sasa hivi anachelewa.
 
Back
Top Bottom