Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Na hii ni kutokana na uonevu aliofanyiwa wa wazi wazi kwa kukatwa majina yetu baada ya kuibuka washindi kura za maoni za Chama cha Mapinduzi lakini chama hicho kimetukata na kuteua watu wengine...

Mwana ccm mwenzangu 2lia 2kijenge chama acha hasira
 
EL alikuwa na ramani hadi mchora ramani na vifaa vya kuchorea AKAKATWA akaja tukazungusha mikono weeee.
Leo ni ccm hatuwapokei mnakuja kuiba ramani yetu ya vita mtoe taarifa.
Tutawasaidia kupiga kampani zakimya au zawazi tunakubalika sana kwenye majimbo yetu chadema jiandae kuchukua nchi mwaka huu.
 
EL alikuwa na ramani hadi mchora ramani na vifaa vya kuchorea AKAKATWA akaja tukazungusha mikono weeee.
Leo ni ccm hatuwapokei mnakuja kuiba ramani yetu ya vita mtoe taarifa.
EL kipindi kile sio leo ,ccm haikua na sera mbaya za uchumi na maadui kila kona watu maisha yaliku yanaenda vizuri ukilingani na awamu hii kitendo cha kutukata majina yetu kita wacost nawaambieni
 
Anza kwanza kubadili ID yako mkuu
 
EL kipindi kile sio leo ,ccm haikua na sera mbaya za uchumi watu maisha yaliku yanaenda vizuri ukilingani na awamu hii kitendo cha kutukata maji yetu kita wacost nawaambieni
Hautushawishi tukupokee, la ukija utakaa mlangoni kama kandambili.
Tuna uchungu ccm wageni wanachotufanyia, lkn njoo tu usugue
 
Hata mimi nimeshangaa sana kura za maoni zilihesabiwsa hadharani, mbele ya luninga na washindi wakapatikana live, leo unakuja kumkata na kumuengua mshindi unampachika aliyeshindwa! Mbaya zaidi kuna wengine waliorudishwa hata nafasi ya pili iliwakimbia! Pia sjajua kigezo hasa ni kipi maana kama kigezo ni rushwa , wapo waliotoa Rushwa na wakalalamikiwa lakini wamepitishwa!

Ushauri wangu ndugu zangu wanaCCM ambao mmekipigania chama hicho miaka kibao na kujiandaa kwa gharama za kiuchumi na kuutoa pia muda wenu, leo unatimiza ndoto yako ya kushinda, unakatwa kisha nafasi anapewa mamluki hata miezi 6 ndani ya CCM bado hajatimiza!

Sasa chakufanya msianze kuhama wala kutoa matamko, bali shugulikeni mkiwa ndani humohumo, waelewesheni wanachama wengine wote uonevu uliofanyika kisha , waungeni mkono wapinzani kwa kuwapa kura zenu huku mkiwapa pia plani ya vita inayosukwa na CCM kuelekea uchaguzi mkuu!
 
Duh umeniacha hoi kama Kuna watu hawajajua wewe ni mpinzani pure na umeandika mada ili kushawishi waliokatwa wadhani na wewe umekatwa kweli Basi nawapa pole...Ila pambana kwenye siasa Kuna mbinu nyingi
 
kwani kuna watu mna hatimiliki na hizo tiketi!!!??

au mlisahau mamlaka ya kamati kwenye hilo???

Sent from my G3226 using JamiiForums mobile app
Tunakatwa majina bila sababu za msingi mnawapa wapinzani mnatuchukuliaje huu utakua ujinga wa kiwango gani hatutahama tunabaki kwenye chama chetu pendwa ccm password zote tunatoa ili tukose wote
 
Hukuwa mwana ccm wewe , ila ulikuwa mtu mwenye njaa na mchuia tumbo,
Kwani tanzania kuna kazi ya siasa tu hakuna kazi zingine ukafanye?
 
sasa unaongea, haya ndiyo maneno ya mtoto wa kiume - mtoto wa kiume huwa halii lii - ni mtu wa Action.

Karibu mezani, mwaga michoro!!
 
Jeuri hiyo hamuna,jaribuni muone
 
Hiii wee nini[emoji23]
asiekubali kushindwa si mshindani Bro
Acheni kuwa obsessed na siasa haya ndo madhara sasa
 
Alifanya Lowassa na alichemka ,itakuja kuwa nyie vinyamkera ,uzeni tu ramani ya vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…