luangalila
JF-Expert Member
- Jan 12, 2014
- 6,346
- 6,928
Bora katambi kuliko masele jimbo lingeenda alfajiri na mapemaKweli kabisa, Shinyanga mjini ishakuwa ngumu tayari, wacha tusubiri.
Umemsahau VINCENT MBOGO Jimbo la NKANSI KUSINI Mkoa wa RUKWADar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)
Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde
Manyara
Jimbo la Babati Mjini
- Pauline Gekul
Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo
- Charles Kimei
Shinyanga
Jimbo la Shinyanga Mjini
- Patrobas Katambi
Mtwara
Jimbo la Ndanda
- Cecil Mwambe
= Orodha zaidi inakuja hivi punde =
Pia Soma
= > Uchaguzi 2020 - Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Iwapo "hujui kama hujui" ukae kimya.Wameteuliwa ili waunga mkono juhudi fake waje waendelee na awamu ijayo
Usinipangie cha kuandika hapa hili siyo jukwaa la baba akoIwapo "hujui kama hujui" ukae kimya.
Mchakato wa kuteua wagombea CCM ni wa uwazi na usio na mizengwe.
Hifadhi hisia zako na kuomba dua lako lifanikiwe.
Kwan yule aliekashinda kwa wajumbe alikuwa kabila gan?Tuseme ukabila umembeba askofu Gwajima,?nauliza kwasababu hakuwa mshindi wa pili,walio mzidi kwa kura wameondolewa kwa kigezo gani?ukisema rushwa nitakukatalia kwa kuwa wapo walio kamatwa live na waliotoa rushwa waziwazi majina yao yamerudi,Sasa kwa Nini Kawe au ndio usukuma?
Hawa watatu ndiyo waliounga juhudi kutoka CHADEMA. Haya tusubiri uchaguzi utasema nini.Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima
Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)...
Sio Nchambi, Shy mjini ni Masele.Shinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Nchambi lazima ana kinyongo.
Mlinzi wa rais huyuUmemsahau VINCENT MBOGO Jimbo la NKANSI KUSINI Mkoa wa RUKWA