Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Uchaguzi 2020 Wafahamu baadhi ya Watia nia ya Ubunge wa CCM ambao hawakushinda katika kura za maoni lakini wamepitishwa kugombea katika majimbo yao

Dar es Salaam
Jimbo la Kawe
- Askofu Josephat Gwajima

Tanga
Jimbo la Muheza
- Hamis Mwinjuma (Mwana FA)

Mbeya
Jimbo la Tunduma
- David Silinde

Manyara
Jimbo la Babati Mjini

- Pauline Gekul

Kilimanjaro
Jimbo la Vunjo

- Charles Kimei

Shinyanga
Jimbo la Shinyanga Mjini
- Patrobas Katambi

Mtwara
Jimbo la Ndanda
- Cecil Mwambe

= Orodha zaidi inakuja hivi punde =



Pia Soma
= > Uchaguzi 2020 - Yaliyojiri upigaji kura za maoni za wagombea wa Ubunge na ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kupitia CCM - Julai 20-21, 2020
Umemsahau VINCENT MBOGO Jimbo la NKANSI KUSINI Mkoa wa RUKWA
 
Wameteuliwa ili waunga mkono juhudi fake waje waendelee na awamu ijayo
Iwapo "hujui kama hujui" ukae kimya.

Mchakato wa kuteua wagombea CCM ni wa uwazi na usio na mizengwe.

Hifadhi hisia zako na kuomba dua lako lifanikiwe.
 
Tuseme ukabila umembeba askofu Gwajima,?nauliza kwasababu hakuwa mshindi wa pili,walio mzidi kwa kura wameondolewa kwa kigezo gani?ukisema rushwa nitakukatalia kwa kuwa wapo walio kamatwa live na waliotoa rushwa waziwazi majina yao yamerudi,Sasa kwa Nini Kawe au ndio usukuma?
Kwan yule aliekashinda kwa wajumbe alikuwa kabila gan?
 
Mwanafa na babu tale ndo waashapita tayari tujiandae kuona nondo zao next bunge maana ukipita ccm ni uhakika km ilivyozoeleka sijui tu haka "kasisitimu" kataisha lini
 
Naona katika majimbo yote hili ndo linawapa degedege!
 
Gwajima njia nyeupeee, halima tumeshamchoka wana kawe.
 
Shinyanga Mjini hilo jimbo Chadema washindwe wenyewe, huyo Katambi 2015 alijaribu hapo Shinyanga akiwa CDM akakosa, naamini yule Nchambi lazima ana kinyongo.
Sio Nchambi, Shy mjini ni Masele.
 
hili lingekuwa la haki kweli kama hata kwenye majimbo ya mawaziri na viongozi wa juu nayo yangefanyika hivi hivi kwa kuwa nao wametoa rushwa sana tena kubwa kubwa lakini hawajakatwa bali wale wanyonge ndio wameonekana wametoa rushwa hii itakuwa tabu katika chama chetu
 
Back
Top Bottom