We si inakuuma hata hizo kota ujakaa maana hamkua hata na hadhi ya kukaa hizo nyumba angalau pensheni imewainua kujenga chumba na ukumbi kule goba basi aah ukajiona umewin lmao pole if u cant beat them join them ndo wameshaishi huko we ridhika tu na huko mkoani pwani.
Vijana wa Kishua naona mko njema. Akina Masanja waliokuja town Kama wakimbiza mwenge inabidi tupambane na sisi watoto wetu wawe wa Kishua. Ila hiyo Masaki na Obay Haina shida.....tutawahamisha.....willing buyer for willing seller....cha muhimu ni mawe.....
We si inakuuma hata hizo kota ujakaa maana hamkua hata na hadhi ya kukaa hizo nyumba angalau pensheni imewainua kujenga chumba na ukumbi kule goba basi aah ukajiona umewin lmao pole if u cant beat them join them ndo wameshaishi huko we ridhika tu na huko mkoani pwani.
Ha ha ha lol ukiambiwa wakuja utasema dharau wakat ndio ukweli, wa kishua anakaa kwenye kota? Na kweli kumbe unajua sina hadhi ya kukaa kwenye nyumba za msajili. Mie home na town dkk15 so pole yako unayefika Mbezi saa4 usiku...ha ha ha hembu nionyeshe na wewe hiko chumba na sebule ya mzee wako vya pensheni wakati daily unapigana viPepsi kugombea daladala.
Haya basi ngoja nimalize mjadala...mie Maskini kama wewe ili ufurahi...ha ha ha ha
Hata mimi ni wa kishua...tangu niko mdogo nikila ugali na dagaa natapika mpaka basi....
Hahaaa usidhani kunamtu anakuchuria umaskini humu ila tu uache ulimbukeni wewe sio celeb hata ufurukute vp hauta andikiwa thread ya kukusifia humu... huo ushua wako kautangazie huko insta kwa malimbukeni wenzio hili jukwaa huna hadhi nalo ukasifiwa kama hao.
Teh teh teh nimesema unitangaze au nimeomba kutangazwa humu,,na kweli mie sio Celeb kwanza celeb bongo? We kweli wakuja naona Joto hasira za Umaskini kwanza vipi ushafika nyumbani au bado uko Ubungo kwenye foleni ya kwenda Mbezi? Teh teh teh mlaumu baba yako aliyecheza Golori na mama yako aliyecheza Mdako ujana wao ndio wanakupa tabu zote hizo....
Utaweka nini kule kwa IG Maskini tu wewe labda upelekwe KFC au nandoz ndo uPost,,,teh teh teh kwahiyo kila anayekua IG limbukeni? Narudia tena mlaumu baba/mama yako hajakuandalia maisha tokea ulivyotoka Mkoa hadi sasa hivi. Afu kwanza unajipiga DEKI dizaini sio mzuri hadi unagombania daladala maana ungeshanunuliwa kaVitz!
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Tiririka mama tiririkaa mwanamkee uwanja wako huu watatuaje kuwa we ni wakishua hahaaaa ila tangu umeanza kujitetea umesifiwa labda???? Tajiri hajitangazi bibie anatangazwa ukiona unalazimisha ujue kuna walakini... hizo tabia za kizaramo mwananyamala uswazi hata wadada wenzio sikuiz hawanaga sifa za kijinga.. wenye nazo hawajisifii bali wanasifiwa bibie, si unawaona wenzio hapo juu hawajajisifia wameandikwa. Jitahidi hata huko IG wakusifie basi hao followers wako huko insta.
Lmao kuna wenzio wanalazimisha ushua humu hahaha
Haya bwana celeb stata mzuka naona umetumia nguvu nyingi tujue nawe wa kishua japo umesoma kayumba tho hata hao tajwa hapo juu baadhi yao wamesoma kayumba na zamani kayumba ilikuwa kawaida tu hakuna cha mtoto wa nani au nani.. ila bahati mbaya we sio wakishua kihivyo ndio maana hatujakutaja humu.
Chezea pesa za penshen nn, mambo ya kishua wawaachie akina vannesa mdee
Mkuu hata sio sifa soma tokea mwanzo mada ilipoanzia then ujue nini nilikua naongelea,,ningetaka sifa ningefungua Uzi humu wa kujisifu na mali au kuna sehem umeshawahi kuona nachangia najisifu? Mtu akianza na kashfa na wewe unamjibu km anavyopenda.
Baba zao nao wangejenga kwa pension mbona wanagombania daladala za bonyokwa na akifika nyumbani pikipiki km10 interior afu wanasema wanakaa Dar,,,teh teh teh teh
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
halafu kwa bahati nzuri hatumfahamu.ila hongera zake amejitahidi kujielezea tujue nae ni wa kishua though kwa experience yangu,watu wanaopenda kujipamba kama bwana mkubwa hapo ni malimbukeni a.k.a wameanza kushika pesa ukubwani na bado hawaamini kama ni wao
halafu anajisifia anakula pensheni ya baba yake..loh!!