stata mzuka
JF-Expert Member
- Nov 25, 2012
- 4,834
- 1,759
Kweli kazi hamna. Mnadiscuss maisha ya watu. Nyie ya kwenu nani atadiscuss? Mbona maisha yao yalikuwa kawaida sana? Umaskini bwana.
The king.
halafu kwa bahati nzuri hatumfahamu.ila hongera zake amejitahidi kujielezea tujue nae ni wa kishua though kwa experience yangu,watu wanaopenda kujipamba kama bwana mkubwa hapo ni malimbukeni a.k.a wameanza kushika pesa ukubwani na bado hawaamini kama ni wao
Elimu ya secondary kwa tanzania kuna olevel na alevel naye kasoma vidato vyote hivyo so jua pia kasoma na Mazengo Sec Kule Dom.
Namtetea jamaa kwa nguvu zote hakujikweza ila majibu ya huyo dada ndio yalipofikia hapa. Anaamini kisa yeye na wazazi wake ni maskini basi wote ndio wanaishi maisha hayo. Ye kama kakubaliana na umaskini ni yeye sasa kumkashifu mwenzake kama wewe unavyotoa kashfa ili iweje labda angenyamaza angepungukiwa nini kama nyumba ya uzeeni au ya pensheni ni yao na wazazi wake. Mie hapa najivunia nyumba ya uzeeni ya wazazi wangu na nimesahau msoto wa kipindi cha nyuma maana hata Bakhresa kapatia mali utu uzima.
Msilete chuki zenu za maisha mka generize kwa wote maana classess haziwezi kuwa sawa...period
Teh teh teh sawa King of Sheba ndo nishajitangaza hivyo hizo sehemu unazozitaja ndio baba na mama wamehamia nini kutoka Mkoa? Naona kaka umerudi baada ya grid ya Taifa kurudi au ndio unaingia Mbezi sasa hivi? Teh teh teh mie ukikata ni mwendo wa standby generator tuu NOO Mgao wala grid. Mie sio tajiri ila sio Maskini kama wewe hata kidogo.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
haya tumekuelewa
Hivi dada yangu ukiwa na maisha mabovu ni wote lakini? Mbona ye hajakubishia kama we ni maskini na umekiri? Simply na wewe umkubalie wa kishua nafsi yake iridhike.
Mwache huyo limbukeni utajiri anaforce tumsifie au kudiscuss utajiri wa kwao kwani ye celeb au imemuuma kumwambia akina vanessa wakishua. Haya warumi mwongeze kwenye hiyo list aridhike
Hilo ndio kosa nililolisema mimi hapo mwanzo sasa hao wakuja wanatokwa na mapovu,,, tokea lini ushawahi kuona wakishua anakaa nyumba ya Kota? Kisa tu Upanga na English medium ndio wa kishua, ukiwaambia Maskini wanaona unawadharau. ACHENI UMASKINI JAMANI fikra za miaka hiyoooo mnaleta leo. Huko Upanga kwenye kuna Magenge balaa na vioksi.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Nimuongeze wapi?? Naongelea watu wenye titles zao mjini ambao maisha yao tunayajua wala haiitaji kutumia nguvu sana kujielezea.
Lady gan tena binamu
tuna discuss watu na umaarufu wao bhna wanaofahamika, sasa naona kuna watu na wenyewe wanatak kuji celebritisha apa
Waongeze na hawa wanaotumia nguvu jf kujielezea wakishua na hakuna aliye wauliza.. kwani hata wakikaa tandale nani atawauliza.
tuna discuss watu na umaarufu wao bhna wanaofahamika, sasa naona kuna watu na wenyewe wanatak kuji celebritisha apa
Sasa we kina kuuma nini hata kama walikuwa kawaida kushinda wewe ila hawakuwa sawa na wengine waache wasifiwe... we kama unaona fikra za zamani acha wanaoona fikra za karibuni waongee.