qn of sheba
JF-Expert Member
- Sep 13, 2011
- 3,230
- 1,380
Yote A na B yanaweza kuwa sawa.
Day dreamer
Alikuwa ni lecturer akifundisha business language pale CBE! Huko tambaza labda ilikuwa ni part time!
Acha kutengeneza uongo...Gk anakaa upanga ila sio wa kishua,mamake ni mwalimu...AY ndio choka vibaya mamake yupo Rockgarden Morogoro,sidhani kama ata alishawahi kumuona babake,babake alimkataa.
Day dreamer
Wawaaaaa binamu, tishaaa sana
Afu mbaya zaidi wanakaa kwenye nyumba za msajili afadhali wangesema huko Masaki,Upanga obey ni kwao!
malofa siku zote ni shida kabisa hawaishi daylight dream.
sasa brother kama vyeo vya baba zao enzi hizo vinalazimisha wapate nyumba oysterbay watafanyaje?? itabidi waishi huko tu hamna choice....kwani hao wote waliotajwa huko sio kwao???
malofa siku zote ni shida kabisa hawaishi daylight dream.
Mkuu kwani lazima awe lofa kama wewe? We njaa kama mnayo ni kwenu sio wote wana njaa mie binafsi sioni mnachoweka mjadala hadi sasa hivi ni simply tu kumkubalia maana hampungukiwi chochote kama kudanganya ni nafsi yake. We kinachokuuma labda ni nini?
Mie binafsi sio tajiri sio wa kishua ila na Enjoy maisha na sipati tabu.
Achana nao mkuu Blog sasa hivi bado wapo njiani kwenye foleni nyumbani saa5 usiku halafu kesho Muhindi anataka wafike kazini saa2 asubuhi kuamka saa11 alfajiri teh teh teh teh....mtu wa dizaini hizo ataacha kuwa na stress?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Umeumia sana inavyoonyesha imekuuma sana hao kutajwa wakishua nawewe usiwepo no way out kubaliana na matokeo tu kaa ule pensheni na mirathi maana ndio kilichobaki kwa sasa... ingawa matajiri wa uzeeni ni mnakuwa malimbukeni sana.
Teh teh teh pole kama nilivyo sema tokea mwanzo siijui shida hadi huwa nashangaa watu wanaosema wanaolala njaa naona wanatania au ulishaona kuna sehemu nimechangia maisha magumu? Tokea mtoto nashuka Ngazi toka chumbani naenda Sebuleni na sizijui hata seat za daladala ndani zikoje,nursery nilikua napelekwa na gari,,o'level-Universtiy na push gari hadi sasa hivi! Au tukutane IG
Unavyosema uzeeni ndio nikushangae!
Mshukuru Mungu
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app
Teh teh teh waniume nini hakuna ktk hiyo list hata mmoja anayeniumiza naona wana maisha ya kawaida tu labda kwako wewe uliyefika nyumbani sasa hivi ndio maana sijakushangaa we wakuja mtu anakaa nyumba za Kota unasema wa kishua.
Teh teh teh wewe mbona baba yako hajajenga ya pensheni au akununulie kiVitz japo cha kuepukana na acha ya usafiri.
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app