Wafahamu hawa aina mpya ya panya

Naona umeweka picha kwa hasira kinoma πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sema umeeleweka mkuu
 
Wananchi turuhusiwe kununua bastola ili tuwaangamize kirahisi. Hata hivyo ukatili uliomfanyia panya huyo kwa kumuua kwa kumbana na mtego haukubaliki, naomba watetezi wa haki za wanyama wakuchukulie hatua kali, Mods wa JF hakikisheni mtuhumiwa anatambulika ili akamatwe, na TSPCA mpo?
 
"Wana roho ngumu sana kufa", hawana tofauti na wajomba zao CCM, pamoja na kusemana juu ya wizi wa kura lakini bado wamo tu!
 
umesahau kula document za muhimu
 
Mkuu hao hawana shida kabisa ndo maana huwa wanakata nje kwenye taka, huwa wanasaidia Sana kuua wadudu hatari eg tandu, nge na nyoka wadogo, wasio hatari kama mende na Panya wadogo(mice) na ndani huwa hawaingii...na ukiona ameingia ndani ujue alikiwa anakimbiza mdudu ili amle or else haingii ndani.
Sumu wanayo Kwa ajili ya kuua wadudu akikuuma binadamu ujue ulishika vibaya au anajilinda dhidi ya kipigo chako.

Kwa Nini haliwi na paka sababu huwa akifa mwili wake hutoa harufu na mbaya so make unfavourable to be eaten πŸ˜‚

Home wapo na wamesaidia sana kwenye garden 😊

I attach their boss photo πŸ˜‚
 

Attachments

  • Mr._Big_Render.png
    1,021.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…