Ivan Stepanov
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 6,799
- 22,209
Wamenisumbua sana hawa viumbe na hapo ulipogusia kwenye parking mimi ndio walikua wanapendelea. Na parking yangu ni ya ndani yan ukiingiza gari parking ,kuna mlango unaingia moja kwa moja master bedrum, na kioind hiko sikua nimeweka geti ya parking, bas ndio wakapenya chumbani. Dooh!!. Before kuingia ndani walinisumbua sana kwenya gar maana na waliponi kera zaid ni siku nimekuta wamekula nyaya za umeme zinazounga kwenye honi aao nikatafuta namna ya kuwadhibit from that day on. Paka alihusika pakubwa sana