Wafahamu hawa aina mpya ya panya

Wamenisumbua sana hawa viumbe na hapo ulipogusia kwenye parking mimi ndio walikua wanapendelea. Na parking yangu ni ya ndani yan ukiingiza gari parking ,kuna mlango unaingia moja kwa moja master bedrum, na kioind hiko sikua nimeweka geti ya parking, bas ndio wakapenya chumbani. Dooh!!. Before kuingia ndani walinisumbua sana kwenya gar maana na waliponi kera zaid ni siku nimekuta wamekula nyaya za umeme zinazounga kwenye honi aao nikatafuta namna ya kuwadhibit from that day on. Paka alihusika pakubwa sana
 
Ila naona kama paka wa siku hizi ni wahuni kiaina hivi.
 
Ila naona kama paka wa siku hizi ni wahuni kiaina hivi.
Paka wa siku hiz wazushi wazushi. Kuna paka mmoja nilikua nae kazi yake ni kukesha nje usiku anarud asubuh anazuga nje ndani haingii. Nikamleta paka mwingine, akamfanyia figisu kwa wivu wake yule paka mpya nae akaona isiwe nongwa akasepa. Kwakifupi paka wa siku hiz ni kama vijana tu wa generation Z. Dakika 1 mbele
 
Dah , mimi sitaki kabisa kuwaona wanaharufu kali.
Ukiwaacha wanazaliana sana kwa wingi kwangu nimefanikiwa kuwaua wote aise
 
Washenzi hawa usipokuwa makini wanaleta nyoka wanakuingizia ndani wakiwa wanakimbizwa huko.

Kingine ni kwamba wako tough sana,mimi natumia mtego wa gundi,siku moja alinasa mkubwa akaanguka na mtego mpaka chini na akafanikiwa kuondoka.
 

Hiyo gundi hakuna panya anachomoka, asubuhi unamkuta mzima anakutolea macho unaamua umpe adhabu gani
 
Awa
Hawa wanakula hadi mavi tena wanapendelea kukaa kwenye matundu ya chooni na wananenepa haswa hao umewashika coz ni wadogo ila wale wakubwa huwadaki kirahisi
 
Dah ha ha ha aha ha aha aha
 
Wazungu walivyo na roho mbaya siku tutasikia species mpya ya panya wanaweza Ku digest sumu na kutegua mitego
 
Mbeva,kitoweo hicho pita nacho
Yeah. Fursa hiyo 👆 👆; halafu eti mtu anafanikiwa kuwakamata/kuwaua na anawatupa and then anaenda kujipongeza kwa kula ugali kwa mchicha/mnafu chukuchuku ilhali nyama kesha ipoteza kwa kuitupilia mbali kule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…